Zari: Siko tayari kuzaa tena, I am Tired. Diamond azae tu hata watoto 20

Zari: Siko tayari kuzaa tena, I am Tired. Diamond azae tu hata watoto 20

Huyo zari anajiamini /kujitambua kwa lipi?angekua anajitambua asingekesha mitandaoni kumpiga vijembe mtu wasiyeendana hata kidogo.dalili za mtu kujitambua ni kujifunza kutokujibu kila shutuma juu yako.yani we piga kazi ukimya wako utoe majibu ila yeye kutwa yupo Insta na Snapchat kumvaa hamissa..ptyuuuu poor old baboon
[emoji23]omo! Dua la kuku... mlitaka afe kipindi kile mjamzito kwa nillan hamkuona mabutu alivokua akimfanyia vituko, kamshindwa lulu itakua brigedier General zari KARMA
 
Ni kweli ni mtoto wa mistake, Diamond hakutaka kuzaa na Hamisa, yeye alikuwa anapiga miti tu na ndiyo maana mwanzoni alikataa kuwa mtoto si wake. Suppose wewe ni mwanamme, ungependa kuzaa na mwanamke kama Hamisa kweli?
Mama ako mbona hana utofauti na hamisa ila ulizaliwa kumbe na ww ni mistake eeeh?
 
Huyo zari anajiamini /kujitambua kwa lipi?angekua anajitambua asingekesha mitandaoni kumpiga vijembe mtu wasiyeendana hata kidogo.dalili za mtu kujitambua ni kujifunza kutokujibu kila shutuma juu yako.yani we piga kazi ukimya wako utoe majibu ila yeye kutwa yupo Insta na Snapchat kumvaa hamissa..ptyuuuu poor old baboon

Zari anajibu vijembe anavyotupiwa na kicheche, na kicheche anafanya vile kutokana na hasira za kuchezewa papuchi na kutupwa jalalani. Hata kama ungekuwa wewe unatupiwa vijembe na kicheche/changu lazima utatahamaki na kumtuliza mara moja. Uliza mwanamme yeyote atachagua nani kati ya hao wawili uone jibu lake.
 
Mama ako mbona hana utofauti na hamisa ila ulizaliwa kumbe na ww ni mistake eeeh?

Tofauti iliyopo ni kwamba mimi na ndugu zangu tulizaliwa kwa mpangilio si kwa bahati mbaya kwani wazazi wetu walioana kisheria na mama yetu hakutupwa kama Hamisa. Watoto 2 kila mmoja na baba yake, nani anataka mwanamke wa dizaini hii? Hapa ndipo ujuwe kuna mwanamke wa kuolewa na wa kuchezea, nafikiri utakuwa umepata jibu.
 
Msikie hapa..

Hana shida na mtoto wa Mobeto..makosa ya wazazi si makosa ya mtoto. Yuko tayari kumpokea mtoto.

My Take...

Huyu mwanamke nafikiri akili zake si za Africa. Ana akili kubwa sana. Na sioni Mobeto kama anakaribia hata moja ya tatu.

Diamond karuhusiwa aendelee 'kuwatembezea' kama alivyomshauri mwanae akue aje afanye hivyo.

Zari .. Strong woman.

alivyokuwa anamtukana Hamisa mlisifia,leo kapoa mnamsifia hahahahaaaaa mna kazi kweli so A N B yote majibu?????????????????....kuwa STRONG haimaanishi kuvumilia upuuzi na angekuwa strong Asingeachana na mumewe na kukimbilia kwa nasibu huyo ni MUOGA kwa sasa na kajifunza kwamba wanaume sisi hatueleweki coz hata alipotegemea kupata faraja kaumizwa kaletewa mtoto wa nje, na akiondoka kwa bwana mdogo ni ngumu kupata tulizo la kweli coz sidhani kama kuna mtu yupo tayari kukaa na MWANAMKE MWENYE WATOTO WATANO KWA BABA WAWILI TOFAUTI, LABDA AFATE HELA ZAKE TU BT TRUE LOVE FOR SUCH KIND OF WOMAN Mmmmmmmmmmmmh ngumu.
 
Zari anajibu vijembe anavyotupiwa na kicheche, na kicheche anafanya vile kutokana na hasira za kuchezewa papuchi na kutupwa jalalani. Hata kama ungekuwa wewe unatupiwa vijembe na kicheche/changu lazima utatahamaki na kumtuliza mara moja. Uliza mwanamme yeyote atachagua nani kati ya hao wawili uone jibu lake.
mi ningechagua mobeto, papuchi inalipa bado siyo ile ilotema watoto watatu kaka afu mumeo kutomba nje lazima ujiulize anakosa nini kwako kaka Zari anaumia bt hana pa kwenda watoto watano mzee nani atakupokea USED.
 
Mwenzako, samahani si mwenzako....Zari ana mkwanja, Hamisa hana kitu na ndiyo maana anaropoka ropoka tu kwa kuwa ana stress za kuzalishwa na kususwa. We fikiria mtu hana hela na ana watoto 2 kila mmoja na baba yake, wanaume aliozaa nao wamemkimbia na hawamtaki. Hata kama ungekuwa wewe LAZIMA tu ungekuwa na stress na kugawa papuchi hovyo ili uonewe huruma. Mwanamke anayejiamini kamwe hawezi kusumbuliwa na changu.
 
Maneno ya zari yanachoma kama paaasiii
26157415_137855557003102_3572579330393374720_n.jpg
25039583_2042406302662925_6457991943858159616_n.jpg
25038696_428566000891634_1952771378650284032_n.jpg
25011431_870550886440397_7477261943183507456_n.jpg
25038784_1613286538751877_7470730075315372032_n.jpg
26065243_138296220190355_6814018194093637632_n.jpg
25013369_1491379264313654_9174170884376625152_n.jpg
 
Nakuonaaaaa pole jaman ila zari yupo vizuri hadi anakeraaaaa eee
alivyokuwa anamtukana Hamisa mlisifia,leo kapoa mnamsifia hahahahaaaaa mna kazi kweli so A N B yote majibu?????????????????....kuwa STRONG haimaanishi kuvumilia upuuzi na angekuwa strong Asingeachana na mumewe na kukimbilia kwa nasibu huyo ni MUOGA kwa sasa na kajifunza kwamba wanaume sisi hatueleweki coz hata alipotegemea kupata faraja kaumizwa kaletewa mtoto wa nje, na akiondoka kwa bwana mdogo ni ngumu kupata tulizo la kweli coz sidhani kama kuna mtu yupo tayari kukaa na MWANAMKE MWENYE WATOTO WATANO KWA BABA WAWILI TOFAUTI, LABDA AFATE HELA ZAKE TU BT TRUE LOVE FOR SUCH KIND OF WOMAN Mmmmmmmmmmmmh ngumu.
 
Naona mapenzi yako ICU... Dai & Zari hakuna love tena, ukisikia mwananmke anasema mume wake azae tu atakavyo hata 20 kids na wanawake wengine hapo ni dhahiri PENZI lilishakufa mudaaa
 
Ukiona mwanamkeanakuruhusu ww zaa tuu nje asilimia kubwa na yeye ana mtu anamtindua. Au baby usisahau kuvaa condom ujue na yeye anavaa so msileteane magonjwa. Men watch out
 
Back
Top Bottom