alivyokuwa anamtukana Hamisa mlisifia,leo kapoa mnamsifia hahahahaaaaa mna kazi kweli so A N B yote majibu?????????????????....kuwa STRONG haimaanishi kuvumilia upuuzi na angekuwa strong Asingeachana na mumewe na kukimbilia kwa nasibu huyo ni MUOGA kwa sasa na kajifunza kwamba wanaume sisi hatueleweki coz hata alipotegemea kupata faraja kaumizwa kaletewa mtoto wa nje, na akiondoka kwa bwana mdogo ni ngumu kupata tulizo la kweli coz sidhani kama kuna mtu yupo tayari kukaa na MWANAMKE MWENYE WATOTO WATANO KWA BABA WAWILI TOFAUTI, LABDA AFATE HELA ZAKE TU BT TRUE LOVE FOR SUCH KIND OF WOMAN Mmmmmmmmmmmmh ngumu.