Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaahahah ukikitembeza wewe usidhan kila mtu anatembeza ,halaf tumia yako au na yangu unaipangia matumizi,nikulilie lo mo nachukua mwanaume yeyote naemtaka hakuna wa kunikataa humuIngekua dhahabu usingelilia eti nikuachie yule mod daah unakitembeza sana humu
Huyu mdada mpaka raha [emoji7]View attachment 776511 cute. Le panic button
Usijefukuzwa umods mama wenzako tupo mbele yako shauri lako
Huyu mdada mpaka raha [emoji7]
Muke yaaaaaa hahahahaahhaha nakojooooooaaaaaaaaaaaaaa ngoja ninywe bia nikuache utoe mawazo jf[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Woyooooo nimepewa umod na mama sabrinaaaaa
Hahaahahah ukikitembeza wewe usidhan kila mtu anatembeza ,halaf tumia yako au na yangu unaipangia matumizi,nikulilie lo mo nachukua mwanaume yeyote naemtaka hakuna wa kunikataa humu
Muke yaaaaaa hahahahaahhaha nakojooooooaaaaaaaaaaaaaa ngoja ninywe bia nikuache utoe mawazo jf
Shida wengi wamemfahamu ukubwani.Yaan kaibua wengi,watu kiroho ndundu
Shida wengi wamemfahamu ukubwani.
Hivi kipimo cha stress ni kipi?maana ulivyong'ang'ana na hiyo stress hadi nakuonea huruma sihitaji nguvu nyingi kukuonyesha wameboresha au hawajaboresha cha msingi endelea na upunguani wako maana unajitia ujuaji wa kila kitu bibie!alafu ushauri wa bure mtoto wa kike kujichekesha hivyo si vizuri watakufanya vibaya midume ebu jiheshimu acha kujifanya tahira uteam mavi kunuka usikutoe akili.Wangeboresha maisha usingekua na stress kiasi hicho poleeeeee phacky back hahaha ndo nini[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi kipimo cha stress ni kipi?maana ulivyong'ang'ana na hiyo stress hadi nakuonea huruma sihitaji nguvu nyingi kukuonyesha wameboresha au hawajaboresha cha msingi endelea na upunguani wako maana unajitia ujuaji wa kila kitu bibie!alafu ushauri wa bure mtoto wa kike kujichekesha hivyo si vizuri watakufanya vibaya midume ebu jiheshimu acha kujifanya tahira uteam mavi kunuka usikutoe akili.
woiii uzuri mambo ya humu hayanipeleki puta nayaachiaga humu humu!si unajua ujuaji mwingi,,,[emoji4]Ukute unabishana na bibi hujui tu shoga angu
.Wengi wanaomchukia huyu mama ni wivu tu unawasumbua. Huyu Mama watano ni akili kubwa.
woiii uzuri mambo ya humu hayanipeleki puta nayaachiaga humu humu!si unajua ujuaji mwingi,,,[emoji4]
Acha maskhara Cocochanel.Mbona inadaiwa upo kwenye payroll ya buku 7 Lumumba.Ila huyu mkiti wa sasa ni mchungu sana ndio maana unampotezea!Ha ha haaaaaa
Mbona hata sijawahi kupewa posho unayoongelea.. naburudika kama wengine tu humu.
Nakojoaaaaaaaa unapambana na malaya wa jf anadhan kila mtu malaya kama yeye na zariHivi kipimo cha stress ni kipi?maana ulivyong'ang'ana na hiyo stress hadi nakuonea huruma sihitaji nguvu nyingi kukuonyesha wameboresha au hawajaboresha cha msingi endelea na upunguani wako maana unajitia ujuaji wa kila kitu bibie!alafu ushauri wa bure mtoto wa kike kujichekesha hivyo si vizuri watakufanya vibaya midume ebu jiheshimu acha kujifanya tahira uteam mavi kunuka usikutoe akili.
Mwisho wa siku amezaa nae watoto wawili (2) nadhani sio mbaya hiyo nyumba haijapotea kwani wanaishi watoto wakeSizani! Kwani na Dai wamekaa Kwenye uhusiano Kwa muda gani hadi kuachana?
Ndani ya muda huo mfupi tayari alishamrubuni kijana wa watu kwenda kumnunulia bonge la jumba Kwa bei kubwa A Mansion!
Na ukitaka atoke povu Siku hizi ulizia Hilo swala utamuona atakavyochukia!
Na hili huenda ni swala linalomuuma Dai!
Wengine walikuwa wakisema Zari anampenda sana Dai, watu wakauliza anampenda Kweli au kafata pesa?
Wakasema Kama ni pesa Zari anazo [emoji87]
Mtu akasema mnafahamu kuhusu wealth maximization theory?
Ndani ya muda mfupi Dai kashapigwa bao!
Unaambiwa jumba la kule bondeni Hata ya Dai ya hapa haioni ndani!