Zari the boss lady ananitesa bila sababu

Inawezekana, au aliona nimemsifia wema sehemu akapata wivu. . . Itakuwa ananipenda eeenh?

Huyo kashapambana na wanawake kwa wasichana waliomuingilia akiwa ktk ndoa.

Sidhani mambo ya ex wa chibu yanamsumbua. Now yeye anakula maisha...ila bora ameanza kuwarushia madongo watu wenye wivu nae, nae anawaonyesha anayajua ya kilady kuwajibu bila kuweka mengi.

Ila kwa mapicha yake maandishi ni yeye hata kabla hajakutana na Chibu sema wa TZ wazushi wanamtafutaaaaaaaa kutaka kumuumiza na hawamuwezi.
 
Hilo nalo neno
 
naomba mwenye moyo wa ualimu anifundishe jinsi ya kuandika statu humu JF na kumPM mtu. Plz
 
Wewe huyu huyu ndio unalalamika hivyo kama umefukuzwa kazi!
 
Mkuu yule mtoto huwa anapost picha tamu sana! . . . Kuna moja aliweka yupo kwenye jakuzi katoa paja hivi. . . Dah haka kadaimondi kanafaidi mno. . Mi nilikuwa nafaidi kwa macho tu, pia kanimwaga
 
Back
Top Bottom