Pampula jr
JF-Expert Member
- May 2, 2013
- 606
- 192
yumo humu kweli ambapo hawezi kuuza sura
Aaagh labda amekusoma kwa mwingine umekomenti vibaya au kiaina cha kumuuzi akakubuloki.
Usijali andika kwa Diamond atasoma tu.
Pole may b username yako inafanana na waliomkandia ukapata ban umoumo kumbe haikuhusu
Inawezekana, au aliona nimemsifia wema sehemu akapata wivu. . . Itakuwa ananipenda eeenh?
Huyo kashapambana na wanawake kwa wasichana waliomuingilia akiwa ktk ndoa.
Sidhani mambo ya ex wa chibu yanamsumbua. Now yeye anakula maisha...ila bora ameanza kuwarushia madongo watu wenye wivu nae, nae anawaonyesha anayajua ya kilady kuwajibu bila kuweka mengi.
Ila kwa mapicha yake maandishi ni yeye hata kabla hajakutana na Chibu sema wa TZ wazushi wanamtafutaaaaaaaa kutaka kumuumiza na hawamuwezi.
Wewe huyu huyu ndio unalalamika hivyo kama umefukuzwa kazi!
naomba mwenye moyo wa ualimu anifundishe jinsi ya kuandika statu humu JF na kumPM mtu. Plz