Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
- Thread starter
- #421
Kumbe Sharon ni rafiki wa zari? Ndo huyo nliona insta kuwa ndo yupo nae ni mzuriKuna gazeti la udaku lilitoa report kutoka vyombo vya habari vya uganda kuwa, Ivan anaikataa mimba alompa mwanamke anayeitwa Sharoni ambaye alikua rafiki wa karibu wa bi Zarina.
hana muda wa kuhang na wanawake muda wote yupo na king laurensia