Kuna gazeti la udaku lilitoa report kutoka vyombo vya habari vya uganda kuwa, Ivan anaikataa mimba alompa mwanamke anayeitwa Sharoni ambaye alikua rafiki wa karibu wa bi Zarina.
Mlianza na ultra sound iikawa ni kadownload app, ikaja mimba my foot hana mimba kashiba matoke
haya mkasema mimba ni ya katunzi, na huyo anaedai tifa ni wake akapost kejeli "the face you make when your wife is preg at 41years" leo tenya mwataka DNA muwaaaaaache walale
sasa kama mimba ilikua yake hiyo post ni ya nini?
hana mbegu za kike huyo