Zari the bosslady & Diamond


hihihi...hiyo ndio mitoto ya ki ankole...ukikuta mganda au mhaya mweupe ndio uzazi huo...hadimu sana..
 

hahahahahaha umenifurahisha balaaaaa
 
Huu uhusiano naupa mwezi, maana dai anafanya kwa hasira tuu sidhani kama ana mapenzi anataka kumkomoa mama ubaya
 
Haaa! Zari kawekwa hadi dp wassap ..na boonge la status ,mnashangaa comment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…