We bwana eh, we tuhurumie tu wanaume manake haya mambo mengine Mungu katufanyia makusudi tu ili mradi tu apate sababu ya kututia kwenye huo moto wake... lakini potelea mbali, aaaaargh! Hivi we mwanaume unakutana na kitu kama hiki: View attachment 203797View attachment 203797
Halafu hapo unafanyaje... halafu ndo yupo kwenye 18... unajifanya humuoni, au? Mi nakuambia hivi... ukijifanya humuoni huyo ili upate ujiko kwa God, trust me... Mungu atakurundikia zigo la dhambi wewe hadi ukome... why? ume-abuse His Creative Power!!! Mungu kaacha mambo yake yote, katulia...kaumba mwanadamu wa kike kama huyo halafu ujifanye si lolote... wewe! Mungu alishafahamu kabisa kwamba huyu kiumbe napeleka gogoro huko duniani... halafu ujifanye kumu-ignore! Bora ugonge mzigo kisha muache Mungu akuandikie midhambi ya uzinzi huku anatingisha kichwa huku akisema: "nilijua tu... thubutu yako, uchomoke hapo...!" Lakini ukimpuuza, trust me... utashushiwa zigo la dhambi mara mbili... huku Mwenye Kiti cha Enzi akiwa amenuna... umemdharau, ume-abuse mautundu yake katika uumbaji!!!
Eti huyu "mama nae." Nini mama... hata kama angekuwa bibi... we unasema mama!!! Hivi unaiacha vipi nyama nono kama hiyo, enh?! Hata uambiwe imechacha... unaipiga pili pili na ndimu kwa wiiiingi, badala ya kuitengeneza mchuzi, unaichoma na mirinda bariiiiidi inasubiria kwenye jokofu! Hadi unakuja kufahamu kwamba, eh! kumbe zee... ushashiba zamani!!!
hihihi...hiyo ndio mitoto ya ki ankole...ukikuta mganda au mhaya mweupe ndio uzazi huo...hadimu sana..