Zari The Bosslady kahamia kwa Diamond na watoto wake wote watano?

Umetumia nguvu nyingi sana kuandika. I can feel it. You need a drink.
 
This is a super woman...
 
All Useless piece of sh¢¢t
 

Maneno yako hayana busara kabisa. Na hasa unapisema wewe ni mlokole na hapo hapo unaongelea kumnyonga malaika??

Get your brain checked dumb ass.
 
Hahahaha [emoji23] [emoji23] mwaka juzi alikuwa hana mtoto baada ya miaka miwili ana watoto 5 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mae. Haya maisha haya
 
Daimond yupo South au hapa bongo??
HUYU jamaa ana roho ngumu kuliko shetani.
Bibie anampiga tuition ya kiingereza ili aweze kuwalea wenzake.
 
Kwa ulivyojieleza hapo, ushindwi hata kuwala tigo watoto wa mwenzio
The so called mlokole
 
hii team hapo diamond na wasafi wake wasitegemee kufikia hapo tena,nyumba yote iko occupied,mwanamke anajua sana kucheza na akili za wanaume.
nilisema toka mwanzo mimi Diamond ataishia show off na hiyo nyumba ila Zari ndio mmiliki halali.

Sasa movie episode 2 ndio inaanza lmao!!!
 
Huyu mama anataga balaa asipofungwa speed gavana atakuwa na darasa lake.
 

I thought baba wa kambo ni watu wenye roho nzuri duniani
 
duuuhh[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
mwacheni azae nyinyi mamidonge sindano.utoaji wa mimba ni uwoga wa maisha nyambafu zenu.Arusha hapa mbauda kuna mdada ana watoto 5.kudadaki kasimama ukiambiwa ajazaa unakubari.namaisha yanakwenda.ukitegema hawara utakufa utachakaa.zari zaaa mama
 
Kumbe Allah ndio aliruhusu Diamond akutane na Zari na kufanya uzinzi bila ndoa ila baadae Diamond alee hao watoto?

Kwanini Allah hakuwashauri wafunge NDOA halal kwanza badala ya kufanya uzinzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…