Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna uzi ulianzishwa humu kuwa walokole wana roho mbaya sana.Naendelea kuamin kuw ni kwelKhaa! Kulea watoto wa kambo ni kazi sana. Mie pamoja na ulokole wangu, siwezi kulea mtoto wa baba mwingine aliyezaa na mke wangu. Nina wivu hatari. Ninaweza hata kukanyonga katoto ka kambo nipate kesi.
Kama Diamond kaweza hili, ninampa hongera sana. Huu ni moyo wa pekee...
Hahahahaa mkuu usinichekeshee.mi nishaoa muda sana kaka. Pia inategemea ningekua sijaoa na napata mwanamke mwenye watoto ningeweza kuishi nae tu .si unajua utamu wa pipi mate yako mkuu.Amina na wewe nakuombea kwa mwenyezi mungu uoe mwanamke mwenye watoto watatu wa kiume wakue wakudunde ili ukumbuke shuka wakati kunakucha
Sawa kwani kuna shida gani Mwenyezi Mungu alishapanga iwe hivyo na alishapanga kuwa Daimond ipo siku atawalea hao watoto na ndio Mwenyezi Mungu alimkutanisha na Zari ili mpango wa Allah ukamilike hapo.unajua sisi binaadamu tumewekewa pazia hatuyajui ya mbeleni kwetu .laiti tungeyajua wala hakuna mtu angekubaliana na Mipango ya Mungu acheni Mungu aitwe Mungu hizo porojo tu.da watu bana .
Duu diamond anajua kupenda nimeamini
Mungu amtangurie kwa kila jambo
Hii ndio roho halisi ya kilokole...Khaa! Kulea watoto wa kambo ni kazi sana. Mie pamoja na ulokole wangu, siwezi kulea mtoto wa baba mwingine aliyezaa na mke wangu. Nina wivu hatari. Ninaweza hata kukanyonga katoto ka kambo nipate kesi.
Kama Diamond kaweza hili, ninampa hongera sana. Huu ni moyo wa pekee...
Hawa watu nimewahi kukaa nao miezi sita nilihisi nimezungukwa na wasaidizi Wa Lucifer asikwambie mtu walokole wana roho mbaya sijapata kuona,nazani na maisha wanayopitia yanachangia..Kuna uzi ulianzishwa humu kuwa walokole wana roho mbaya sana.Naendelea kuamin kuw ni kwel
Umemjibu vizuri sana mkuu,watu wa hivi vijiji wanavyotokea huwa balaa! Jibu zuri safi sanaNimezaliwa Tandale, nimekulia Tandika na sasa naishi Mwananyamala Mkuu. Mwenzangu Wewe wa wapi Obey au Masaki au Mikocheni au Upanga au Kijitonyama au Makumbusho au Kawe Beach au Mbezi Beach? Nina hamu sana nami siku moja nije nikae tu huko Ushuani Kwako ili nitoe huu Ushamba wangu wa Kubobea / Kutukuka kuishi huku Uswahilini / Uswazinyo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kijana huyu amejiingiza kwenye mgogoro mzito atakata viuno mpaka bolt zilegee jukwaani
Tatizo kuzaa bila ndoaKamuulize Pungufu aka Machache na Rais wa Ufaransa, Trump,na wengineo. Hii Couple mnaisakama sana kwa maneno yasiyopendeza. Kwani kuzaa watoto wengi unaoweza kuwalea/kuwatunza kuna shida gani? Hii ni familia iliyobarikiwa Fame, Makazi, Malazi, Chakula, Usafiri, Uzuri, Uzazi na Luxury zote mliozikosa hapa duniani. Mungu awaunganishe wawe Strong and Happy Family.
We ndo wale walokole fekiKhaa! Kulea watoto wa kambo ni kazi sana. Mie pamoja na ulokole wangu, siwezi kulea mtoto wa baba mwingine aliyezaa na mke wangu. Nina wivu hatari. Ninaweza hata kukanyonga katoto ka kambo nipate kesi.
Kama Diamond kaweza hili, ninampa hongera sana. Huu ni moyo wa pekee...
Ukiwa mkubwa utajua ni nini cha kuandika na kutoandika, bajeti njema na kaungane na wenzio kuishangilia!Mimi hata mamaako namuowa ,Mapenzi sio Age 😛
Yeah, kama ilivyokuwa kwa Ivan! Ni vizuri sote kuombeana mema lakini katika uhalisia wetu kiongozi.Kamuulize Pungufu aka Machache na Rais wa Ufaransa, Trump,na wengineo. Hii Couple mnaisakama sana kwa maneno yasiyopendeza. Kwani kuzaa watoto wengi unaoweza kuwalea/kuwatunza kuna shida gani? Hii ni familia iliyobarikiwa Fame, Makazi, Malazi, Chakula, Usafiri, Uzuri, Uzazi na Luxury zote mliozikosa hapa duniani. Mungu awaunganishe wawe Strong and Happy Family.
Niliopata kuchanganya nao mazingira na kushare ideas wote nimegundua kua sio roho mbayaKuna uzi ulianzishwa humu kuwa walokole wana roho mbaya sana.Naendelea kuamin kuw ni kwel
Umri si tatizo as long as anamla mama yako huyo ni baba yako.Kwa hiyo atakuwa na 'watoto' sita! Maana first born hatofautiani sana kiumri na so called honey.
Wewe unaishi kibiti?Khaa! Kulea watoto wa kambo ni kazi sana. Mie pamoja na ulokole wangu, siwezi kulea mtoto wa baba mwingine aliyezaa na mke wangu. Nina wivu hatari. Ninaweza hata kukanyonga katoto ka kambo nipate kesi.
Kama Diamond kaweza hili, ninampa hongera sana. Huu ni moyo wa pekee...
Izo pombe Unazokunywag alfu unakuja Kuandika pumba zako uku ukomee.....Khaa! Kulea watoto wa kambo ni kazi sana. Mie pamoja na ulokole wangu, siwezi kulea mtoto wa baba mwingine aliyezaa na mke wangu. Nina wivu hatari. Ninaweza hata kukanyonga katoto ka kambo nipate kesi.
Kama Diamond kaweza hili, ninampa hongera sana. Huu ni moyo wa pekee...