Zari The Bosslady kahamia kwa Diamond na watoto wake wote watano?

Diamond ana moyo mgumu kama shujaa Lowassa
 
Hiyo Kampuni ya Maziwa ya Mtindi ya Zari kama inavyoonekana pichani hapo ni yake au ameyabetua tu kutangaza Soko?
Wee wachina wanatuharibia pochi zetu we unategemea 5 zote zimechumu hapo , hata jeck iinue vipi bado yangesambaa juu ya jeki kama chapati, mchina amehusika.
 
Kumbe Allah ndio aliruhusu Diamond akutane na Zari na kufanya uzinzi bila ndoa ila baadae Diamond alee hao watoto?

Kwanini Allah hakuwashauri wafunge NDOA halal kwanza badala ya kufanya uzinzi?
Mungu anafanya anachopenda
 
Hiyo Kampuni ya Maziwa ya Mtindi ya Zari kama inavyoonekana pichani hapo ni yake au ameyabetua tu kutangaza Soko?


Ni nadhani huyo Ivan hakuwa na biashara za kawaida na huyu mwanamke alizifahamu na akashiriki kabla hawajaachana. Inawezekana kabisa kuja kuolewa Dar ilikuwa ni mkakati wa kuendelea na zile biashara hasa ukizingatia wenzie Ivan katika biashara hiyo wanafahamiana naye na mume wa sasa amekuwa na safari nyingi za nje ya nchi akiwa na wanamuziki wake. Naendelea kuamini iko siku mambo yatalipuka na ukweli utajulikana.
 
Domo hapo kapatikana akileta fyoko fyoko kwenye nyumba wanampa kibano cha nguvu mitoto yote hiyo lazima akimbie.
 
Hebu thibitisha
Embu kakojoe ukalale huko kila siku fyoko fyoko za imani tu amini unacho amini niamini ninacho amini kila mtu na hamsini zake kama unachoamini kinajitosheleza usitake kujua cha kwangu mana hakitosaidia ata ukijua tabia mbaya tu na chuki za kipumbavu kachukue vitabu ujisomee mwenyew
 
malaya haliziki sasa kama shida ilikuwa ni lugha huu mchele mwembamba wa mbagala unajua nn? Its all about umalaya.
 
kweli DIAMOND KAPEWA MZIGO MZITO ANALEA WATOTO WATANO WASIOKUA WAKWAKE.... HAPO HANA MTOTO HATA MMOJA
 
Mawazo ya kimasikini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…