Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Ivan the don alikuheshimu sana,hakuwahi kukuanika kwa lolote!Mwisho wa siku ukamuonesha kuwa umemove on na kujooiianika mitandaoni na Diamond ukijua umelamba dume,kumbe umeruka mkojo na kukanyaga mavi!!!Ona sasa unavyorukwa akili na kutoa matusi bila kujali wanao wameshakuwa na wanakiona unachofanya,unafika mbali mpaka kusema kuwa Ivan amekuachia nyumba so hubabaiki!!!
Kiaina kama unammiss Ivan na kujutia kumuacha baba wa watoto wako aliyekuheshimu na kuingia chaka!
Pole sana ila majuto ni mjukuu!
I wish Ivan angekuwa hai leo,ungeenda kwake unatambaa kwa magoti kwa ulivyomkosea!!!!