Zari utamkumbuka Ivan the Don maisha yako yote!

Zari utamkumbuka Ivan the Don maisha yako yote!

Zari yuko mbali tifauti na wanawake wengi Africa mashariki hata wanaume pia aisee.
Maisha ya mitandaoni noma sana.... Tunatumia muda mwingi kumdiss ambaye ameshatoboa kimaisha na kupitia karibia hatua zote muhimu kimaisha kuanzia pesa, mahusiano, ndoa, familia umaarufu nknk
 
Kwenye maisha yangu nimejifunza before any relationship lazima nimupime mwanaume level ya immaturity, Zari atamkumbuka mno Ivan diamond atamzalilisha mpaka akome walah
Wengi wenu hamna akili ya kutizama level of maturity mwanzoni,mnaangalia pesa alafu mengine baadaye,level ya maturity mnakuja kuijua baada ya kuachana.
 
Ivan the don alikuheshimu sana,hakuwahi kukuanika kwa lolote!Mwisho wa siku ukamuonesha kuwa umemove on na kujooiianika mitandaoni na Diamond ukijua umelamba dume,kumbe umeruka mkojo na kukanyaga mavi!!!Ona sasa unavyorukwa akili na kutoa matusi bila kujali wanao wameshakuwa na wanakiona unachofanya,unafika mbali mpaka kusema kuwa Ivan amekuachia nyumba so hubabaiki!!!
Kiaina kama unammiss Ivan na kujutia kumuacha baba wa watoto wako aliyekuheshimu na kuingia chaka!
Pole sana ila majuto ni mjukuu!

I wish Ivan angekuwa hai leo,ungeenda kwake unatambaa kwa magoti kwa ulivyomkosea!!!!

Ungesema ameruka mavi akakanyaga mkojo, kiafya ni bora ule mavi kuliko kunywa mkojo mkuu..
 
Wengi wenu hamna akili ya kutizama level of maturity mwanzoni,mnaangalia pesa alafu mengine baadaye,level ya maturity mnakuja kuijua baada ya kuachana.
Mimi sihangalii sio umaarufu naangalia tabia zako kwanza mana nimeridhika na hali yangu, wanaume mzalilishaji ni wakumkimbia hata kama ni maarufu
 
Mimi sihangalii sio umaarufu naangalia tabia zako kwanza mana nimeridhika na hali yangu, wanaume mzalilishaji ni wakumkimbia hata kama ni maarufu
Theoretical sawa ila practical wengi wenu hamfanyi hivyo,mimi wanawake nawajua vizuri sana,mbele ya hela hampindui.

Hivi ushajiuliza kwa nini single mother wamekuwa wengi ? na ukifuatilia single mother wengi kuna mtu wa maana alikuwa naye mwenye high level of maturity,but economical yupo kawaida,lakini kakimbilia kwa mwenye hela,ambaye hajali hisia za mwanamke.
 
Back
Top Bottom