Zari utamkumbuka Ivan the Don maisha yako yote!

Tigershark

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2018
Posts
7,051
Reaction score
12,566
Ivan the don alikuheshimu sana,hakuwahi kukuanika kwa lolote!Mwisho wa siku ukamuonesha kuwa umemove on na kujooiianika mitandaoni na Diamond ukijua umelamba dume,kumbe umeruka mkojo na kukanyaga mavi!!!Ona sasa unavyorukwa akili na kutoa matusi bila kujali wanao wameshakuwa na wanakiona unachofanya,unafika mbali mpaka kusema kuwa Ivan amekuachia nyumba so hubabaiki!!!
Kiaina kama unammiss Ivan na kujutia kumuacha baba wa watoto wako aliyekuheshimu na kuingia chaka!
Pole sana ila majuto ni mjukuu!

I wish Ivan angekuwa hai leo,ungeenda kwake unatambaa kwa magoti kwa ulivyomkosea!!!!

 
Maisha ya mitandaoni noma sana.... Tunatumia muda mwingi kumdiss ambaye ameshatoboa kimaisha na kupitia karibia hatua zote muhimu kimaisha kuanzia pesa, mahusiano, ndoa, familia umaarufu nknk

ndio hata kama Maisha yake sasa sio mazuri kama zamani,still ameshawahi kuenjoy Maisha..probably me and you hatutakaa tuyapate in our lifetime..lol
 
Maisha ya mitandaoni noma sana.... Tunatumia muda mwingi kumdiss ambaye ameshatoboa kimaisha na kupitia karibia hatua zote muhimu kimaisha kuanzia pesa, mahusiano, ndoa, familia umaarufu nknk
Celeb forum hii!
 
Dah kweli leo ni siku njema... Naona leo hujaniponda bali unenisapoti kiaina nilichoandika [emoji108]

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
siyapendagi yale matunguri yako tuuu..ila beneath that I think you are nice person!.....its time uokoke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…