Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Hili ndio misukule yake huwa haioni, mara zote chokochoko huwa anaanzisha huyu bibi, ila cha ajabu anaonekana victim!!!Na misa leo kamnyooshaaaaaaaaaaa
Basi sema wale wanaomshobokea zari wanajifanya hawaoni
Na most of the time bi tukinao anaanzaga chokocjoko kisha kujifanya victim