Inatakiwa uwe na internet iko fast internet zetu za bongo
Nimependa sana huu ubunifu wa hawa waandaaji wa hili tamasha. Mimi ni muumin mzuri wa ubunifu ktk Biashara Na pia ni mteja mdau mzuri wa entertain-business.
Kwa mara nyingine Dogo Diamond ameweka somo nyingine la ubunifu linalofaa kuigwa na wanamuziki wenzake kwa kutangaza kuwa tamasha hilo litakalofanyika Mliman city linaweza onwa na kila anaependa pasipo kulipia 50K ya kiingilio bali kwa kulipa only 3K Na ukaona kila kitu ukiwa popote dunian kupitia. Zari white party
Mjasiriamali anapokuwa mwanamziki yupo likely kufanikiwa zaidi kimziki kuliko mwanamziki anaekuwa mjasiriamali.

Kwanini tunatumia 'K' kwny Shilling ya Tanzania badala ya kutumia 'T'? What I know K ni Kenya Shilling...
Mfano mtu unaposema 50K moja kwa moja Najua una maanisha thamani ya hela ya Kenya...kwanini usiseme 50T wakati inaeleweka vizuri sana?
Tuwe wazalendo!
Mkuu k inasimama balala ya thousand,siyo kenya
Explain it to me plz, K=Thousand?😕
Am not that much good in mathematics symbols...
KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2014 LIVE STREAM
Hili sio jipya Teeeeeenzaaania (Dominick Nyalifa's tone)..
Uwe na taarifa za kutosha kabla hujatumia neno 'Record'..