Zari White Party: LIVE online kwa Tshs 3000/=

pinno

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
1,213
Reaction score
1,229
Nimependa sana huu ubunifu wa hawa waandaaji wa hili tamasha. Mimi ni muumin mzuri wa ubunifu ktk Biashara Na pia ni mteja mdau mzuri wa entertain-business.

Kwa mara nyingine Dogo Diamond ameweka somo nyingine la ubunifu linalofaa kuigwa na wanamuziki wenzake kwa kutangaza kuwa tamasha hilo litakalofanyika Mliman city linaweza onwa na kila anaependa pasipo kulipia 50K ya kiingilio bali kwa kulipa only 3K Na ukaona kila kitu ukiwa popote dunian kupitia. Zari white party

Mjasiriamali anapokuwa mwanamziki yupo likely kufanikiwa zaidi kimziki kuliko mwanamziki anaekuwa mjasiriamali.
 
how much expensive is smile, nataka nianze kuitumia kuliko kutumia hawa voda na tigo
 
Wamefanya kitu tofaut sana kwa tz
 
hongera sana kwake na kwa uongozi wake ,, hatua nzuri sana
 
Nimependa sana huu ubunifu wa hawa waandaaji wa hili tamasha. Mimi ni muumin mzuri wa ubunifu ktk Biashara Na pia ni mteja mdau mzuri wa entertain-business.

Kwa mara nyingine Dogo Diamond ameweka somo nyingine la ubunifu linalofaa kuigwa na wanamuziki wenzake kwa kutangaza kuwa tamasha hilo litakalofanyika Mliman city linaweza onwa na kila anaependa pasipo kulipia 50K ya kiingilio bali kwa kulipa only 3K Na ukaona kila kitu ukiwa popote dunian kupitia. Zari white party

Mjasiriamali anapokuwa mwanamziki yupo likely kufanikiwa zaidi kimziki kuliko mwanamziki anaekuwa mjasiriamali.

sijaelewa kidogo,naomba nieleweshwe how 3k?
 
Unalipia mpesa Tsh 3000 then unapewa code maalum ambayo utaitumia kuingia ktk huo mtandao uone live streaming
 
Safi sana. mpaka sisi wa huku Songea tutaona live..nimeipenda hii
 
Nimependa sana huu ubunifu wa hawa waandaaji wa hili tamasha. Mimi ni muumin mzuri wa ubunifu ktk Biashara Na pia ni mteja mdau mzuri wa entertain-business.

Kwa mara nyingine Dogo Diamond ameweka somo nyingine la ubunifu linalofaa kuigwa na wanamuziki wenzake kwa kutangaza kuwa tamasha hilo litakalofanyika Mliman city linaweza onwa na kila anaependa pasipo kulipia 50K ya kiingilio bali kwa kulipa only 3K Na ukaona kila kitu ukiwa popote dunian kupitia. Zari white party

Mjasiriamali anapokuwa mwanamziki yupo likely kufanikiwa zaidi kimziki kuliko mwanamziki anaekuwa mjasiriamali.

wenzetu wanaita " Pay Per View ", ni kwa mara ya kwanza Tanzania ( record nyingine )
 
Kwanini tunatumia 'K' kwny Shilling ya Tanzania badala ya kutumia 'T'? What I know K ni Kenya Shilling...

Mfano mtu unaposema 50K moja kwa moja Najua una maanisha thamani ya hela ya Kenya...kwanini usiseme 50T wakati inaeleweka vizuri sana?

Tuwe wazalendo!
 
Mkuu k inasimama balala ya thousand,siyo kenya
 
KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2014 LIVE STREAM

Hili sio jipya Teeeeeenzaaania (Dominick Nyalifa's tone)..

Uwe na taarifa za kutosha kabla hujatumia neno 'Record'..

Ni record kwa sababu live streaming ya Kilimanjaro music award was free.

So Zari white party inaingia in history as the first pay per view live streaming event in Tanzania

Ameweka economic value in it Na ndo kitu tunachotaka wasanii wengine waige ,mbinu mbalimbali za kugenerate income from bongo music siyo tu kulalamika kuwa mziki haulipi.
 
Back
Top Bottom