Zari White Party: LIVE online kwa Tshs 3000/=

KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2014 LIVE STREAMHili sio jipya Teeeeeenzaaania (Dominick Nyalifa's tone)..Uwe na taarifa za kutosha kabla hujatumia neno 'Record'..
Ni record mzazi, the KeyWord here is " PayPerView ", Kilimanjaro ulitozwa kiasi gani kuangalia? ( umeona namaanisha nini? ) Nlishawahi kuistream ile ya January Makamba na Rich Management ( #Mindspeak ), kwahiyo najua kua kuna live stream broadcast siku hizi Tanzania ila hii PayPerView ndo ya kwanza.
 
kila la kheri ila wakumbuke kulipa kodi, hope TRA wanafuatilia biashara hizi
 
kila la kheri ila wakumbuke kulipa kodi, hope TRA wanafuatilia biashara hizi

TRA watakumbuka tu kama ambavyo huwa wanakumbuka kudai kodi kwenye matamasha mengine.
 
ni somo sisi tunaoelewa IT, tunaopenda muziki na ujasiriamali we have learn something!!
 

k = 1000
 
nje ya nchi wadau haswa ambao hawakutaka kukosa ilikuwa rahisi kukumbuka code za mobile zitafanya kazi huko huko nchi za nje ya Tanzania...kuangakia ilipendeza.

Yaani wa nje wengine waliona online na wa Tanzania nao waliona kama kawaida utadhani unaangalia kwa TV, hadi ilikuwa ina crash kidogo kidogo hadi inauzi kuonyesha watu walikuwa wanaangalia


Aliyechemsha hi huyo aliyetengeneza website setuptz.com (ipo chini ya page ya party) alizuia watu kutumia kodi tena kama waki logout, pia ulipotoka tu kwenye ukurasa au kma ulikosea ila kodi uliingiza yaani zilikuwa zinasema inatumika... ila ni katika kuzuia watu kutumia tena...tabu wengi hawajui kufata maandishi ili waende hatua kwa hatua (sisemi wote ila wengi) so hii ilichangia wao kukwama...waliofata kubonyeza kidude kimoja the ingia kwa kingine then huyoooooo unapaaaa waliangalia...kwa desktop ilikuwa raha zaidi

wamekosa pesa pia as aliyetengeneza website sehemu ya malipo ya wa nje ya nchi alisahau kuitoa kutoka kwenye demo...haikukubali pesa na watu code hazikuja bai e=mail kusema haujachajiwa.


haya mie mdau..PARTY ILIKUWA BOMBAAAAAA ETI EEEHHHHH
 
We. Boya kwel yan hahahaa yaaan bora ufute post ako make watu watajua jins gan u kilaza k inasimama baada ya maelfu means tripple 0z.mamaeee usikimbilie kosoa paspo jua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…