nje ya nchi wadau haswa ambao hawakutaka kukosa ilikuwa rahisi kukumbuka code za mobile zitafanya kazi huko huko nchi za nje ya Tanzania...kuangakia ilipendeza.
Yaani wa nje wengine waliona online na wa Tanzania nao waliona kama kawaida utadhani unaangalia kwa TV, hadi ilikuwa ina crash kidogo kidogo hadi inauzi kuonyesha watu walikuwa wanaangalia
Aliyechemsha hi huyo aliyetengeneza website setuptz.com (ipo chini ya page ya party) alizuia watu kutumia kodi tena kama waki logout, pia ulipotoka tu kwenye ukurasa au kma ulikosea ila kodi uliingiza yaani zilikuwa zinasema inatumika... ila ni katika kuzuia watu kutumia tena...tabu wengi hawajui kufata maandishi ili waende hatua kwa hatua (sisemi wote ila wengi) so hii ilichangia wao kukwama...waliofata kubonyeza kidude kimoja the ingia kwa kingine then huyoooooo unapaaaa waliangalia...kwa desktop ilikuwa raha zaidi
wamekosa pesa pia as aliyetengeneza website sehemu ya malipo ya wa nje ya nchi alisahau kuitoa kutoka kwenye demo...haikukubali pesa na watu code hazikuja bai e=mail kusema haujachajiwa.
haya mie mdau..PARTY ILIKUWA BOMBAAAAAA ETI EEEHHHHH