Sometimes hearsay may be admissible, since in every general rule there is exception."Hearsay evidence is not admissible"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sometimes hearsay may be admissible, since in every general rule there is exception."Hearsay evidence is not admissible"
[emoji3] [emoji3] umenifanya nicheke piaa, amenishangaza kiasi sijamwelewa.umenchekesha kinoma mamlai[emoji2]
Hearsay evidence is inadmissible for lack of a firsthand witness. When the person being quoted is not present, establishing credibility becomes impossible, as does cross-examination.Sometimes hearsay may be admissible, since in every general rule there is exception.
Jamaa hana hakika na habari, na nyie hamna hakika na jinsia yake 🤣🤣🤣 yan vituko tu[emoji3] [emoji3] umenifanya nicheke piaa, amenishangaza kiasi sijamwelewa.
Kama ni wa kiume basi hii ni changamoto 🤔Tabia za kike hizi
Unataka wanaume tujadili umbea
Huyo ana vinasaba vya ushogerKama ni wa kiume basi hii ni changamoto [emoji848]
Ujinga mtupu,kwa akili ipi aliyonayo illiterate .Nimeisikia mahali kuwa kumbe mke wa zamani wa Diamond Platnumz na yule wa sasa Tanasha Dona, sijui Sembe, ni ndugu na kwamba Zari anamtumia Tanasha kum-monitor na kum-control Diamond.
Lengo ni kumfilisi kabisa na mwisho wa siku wamwache solemba. Unaambiwa Zari ni mafia aliyeshindikana na kwamba utajiri alionao amekuwa akiupata kwa njia hizo. Hebu wanaofahamu ukweli wa jambo hili tusaidieni nasi tujue!!
What if it is dying declaration .To every general there an exception."Hearsay evidence is not admissible"
Mmeanza kuingilia.mapenzi ya watu au wewe ni yule Yuda wa Madale aliyejisifu wakiamua huanza kuunda zengwe hadi mwanamke anaachana na Kaka yake bila kufikiria watoto wataishije. Ndio wamependana waacheni walee mtoto bado mchanga yuleNimeisikia mahali kuwa kumbe mke wa zamani wa Diamond Platnumz na yule wa sasa Tanasha Dona, sijui Sembe, ni ndugu na kwamba Zari anamtumia Tanasha kum-monitor na kum-control Diamond.
Lengo ni kumfilisi kabisa na mwisho wa siku wamwache solemba. Unaambiwa Zari ni mafia aliyeshindikana na kwamba utajiri alionao amekuwa akiupata kwa njia hizo. Hebu wanaofahamu ukweli wa jambo hili tusaidieni nasi tujue!!
Hata upande wa pili si wambea wote hii ni tabia ya mtu haijalishi ni jinsia gani, Kwa kweli inakera SanaKama wewe ni mwanaume hebu tafuta sehemu ya peke ako lia sana then mwisho tamka maneno haya "Eeh Mungu nisaidie mimi pamoja na kizazi changu tuondokane na hizi tabia za upande wa pili ili hali mimi ni mwanaume" Hope utasamehewa na utakuwa mpya kuanzia sasa na uishi kama kidume rijali.
KabisaaaKwa hali hii tuna uhaba wa wanaume Tanzania.
Huyu akija kwangu akaanzisha hizi habari za "nasikia ati" simpi hata dakika mbili namwambia aondoke haraka ninashughuli ya kufanya.Kama utakua jinsia Me ni hatari zaidi ,kwanini uambiwe hivo mlikua mnadiscuss nini?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji2]Jamaa hana hakika na habari, na nyie hamna hakika na jinsia yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787] yan vituko tu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mbwa kala mbwa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji2]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Huyu akija kwangu akaanzisha hizi habari za "nasikia ati" simpi hata dakika mbili namwambia aondoke haraka ninashughuli ya kufanya.