Zarina Hassan na Tanasha ni ndugu, Diamond anachezewa mchezo tu

Sometimes hearsay may be admissible, since in every general rule there is exception.
Hearsay evidence is inadmissible for lack of a firsthand witness. When the person being quoted is not present, establishing credibility becomes impossible, as does cross-examination.
 
Ujinga mtupu,kwa akili ipi aliyonayo illiterate .
 
Mmeanza kuingilia.mapenzi ya watu au wewe ni yule Yuda wa Madale aliyejisifu wakiamua huanza kuunda zengwe hadi mwanamke anaachana na Kaka yake bila kufikiria watoto wataishije. Ndio wamependana waacheni walee mtoto bado mchanga yule
 
Hata upande wa pili si wambea wote hii ni tabia ya mtu haijalishi ni jinsia gani, Kwa kweli inakera Sana
 
Huu uandishi unaonyesha una makalio makubwa.
Nikupe hongera kwa kujaliwa
 
Ukishajadili ukapata jibu kuwa ni kweli au sio kweli wewe itakusaidia nini maishani mwako?? Jitahidi yasiyokuhusu yasikupotezee mda wako mwisho wa siku umri utazidi kukutupa mkono uku huna ata baiskel.
 
Lokole kazini. Kashata kawashika pabaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…