Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Zari jana kalike video ya wema....
team wema wamechambaje wenyewe
Huyo Sinta ana nyonyo kama papai bovu...
Kulike tu nahisi kusingeleta maneno mengi as ingeonekana like they are ok na wema basi. But kalike afu aka-unlike fasta (kwa nilivyosikia) inaleta picha ya tofauti kidogo as imeonekana ni kama anamfatilia wema kisiri siri afu akalike video bahati mbaya, alivyogundua aka-unlike fasta. Sipati picha huko insta mwee
haaaaaa kanichotaje hapo we Half London
Bina za tangu mwaka jana? Nimekumiss bana
Insecurities tu my ndugu, kwa nini Usumbuke na Mtu aliyepita as long as Hakudhuru wala hashughuliki na wewe? Anyway tuache project iendeleeWanawake huwa tunamatatizo yetu Jamani , wewe badala ya kuwa busy na Bwana unataka kumfuatilia aliyeachika/acha ...yaani kama Mashindano fulani uone kavaa nini , kaposti nini , Mwenyewe unajiona Maali ...:blabla:.Wanaume wanatufanya tunaonekana Manyangau sana...Diamond bado kijana Mdogo sana Bado anasafari Ndefu sana ya Kubadilisha Wanawake ...Bado sana ...Bora Wema aliamka akasepa! :ranger:
Kwa Kweli ashukuriwe Mungu kwa yoteHunshindi mie mpenzi !!!
mwaka umeisha salama kushukuru kwa kweli tumefika
Kulike tu nahisi kusingeleta maneno mengi as ingeonekana like they are ok na wema basi. But kalike afu aka-unlike fasta (kwa nilivyosikia) inaleta picha ya tofauti kidogo as imeonekana ni kama anamfatilia wema kisiri siri afu akalike video bahati mbaya, alivyogundua aka-unlike fasta. Sipati picha huko insta mwee
Kwa Kweli kwa Hapo namsifu Wema, hata Kama kimoyomoyo anaumia, at least kaonyesha ukomavu kwa kutokusema chochote.Kabisa
Yaani imeonyesha bi zarinah hakali anafatilia nyendo za wema....
Halafu wema mwenyewe kala kobisi tu....
Kwa Kweli kwa Hapo namsifu Wema, hata Kama kimoyomoyo anaumia, at least kaonyesha ukomavu kwa kutokusema chochote.
Sana...
Umeona (sijui ni ndugu wa ivon) alichopost insta????
Ndio habare ya mjini
Nimeiona kwa doug ikabidi ninsake jamaa hadi kwenye akaunti yake
Sijui ndio kutafuta follower kwa nguvu au wamepata sababu maana zari hakuolewa kwa kuwa ndugu wa mwanaume hawakumtaka
yani binamu we acha ahimidiwe MUNGU aliye juuKwa Kweli ashukuriwe Mungu kwa yote
speechless
btw nimependa your signature
umrefurahi mwenyeweeeeeDu! imebidi nicheke nyonyo kama papai bovu ningekuwa najua unatumia mtandao gani ningekuzawaidia mb za bure wiki nzima