Zarina ndani ya dela ya mama Diamond

Zarina ndani ya dela ya mama Diamond

Zari jana kalike video ya wema....

team wema wamechambaje wenyewe

Kulike tu nahisi kusingeleta maneno mengi as ingeonekana like they are ok na wema basi. But kalike afu aka-unlike fasta (kwa nilivyosikia) inaleta picha ya tofauti kidogo as imeonekana ni kama anamfatilia wema kisiri siri afu akalike video bahati mbaya, alivyogundua aka-unlike fasta. Sipati picha huko insta mwee
 
Wanawake huwa tunamatatizo yetu Jamani , wewe badala ya kuwa busy na Bwana unataka kumfuatilia aliyeachika/acha ...yaani kama Mashindano fulani uone kavaa nini , kaposti nini , Mwenyewe unajiona Maali ...:blabla:.Wanaume wanatufanya tunaonekana Manyangau sana...Diamond bado kijana Mdogo sana Bado anasafari Ndefu sana ya Kubadilisha Wanawake ...Bado sana ...Bora Wema aliamka akasepa! :ranger:

haaaaaa kanichotaje hapo we Half London

Selaa alikuwa anataka mazoea kwa kuchat(kujifanya hajui halafu anajua khs Diamond & Zarih),halafu ulivyokuwa unamjibu kwa ukarimu kila comment yake na kwa haraka bila kumchomesha mahindi akachukulia hata mambo mengine yatakuwa mepesi vivyo hivyo. Picha yako imemponza,inaonyesha una aibu halafu una huruma. Hajui hizi ni ID fake?
 
Last edited by a moderator:
wanaonekana kama umri sawa vile
 
aisee. , dah, wabongo tuna safari ndefu sana, wazungu wanatafuta namna ya kwenda kuishi sayari ya mars wabongo wanahangaika kuchunguza maisha ya diamond na wake zake. Hongereni sana
 
katika eneo Diamond alipo nifurahisha ni kumpiga chini chaote mwenyewe msururu wa mabwana waliowahi kuwa maarufu Wema na kumchukua Zari ngoma inogile.!
 
Wanawake huwa tunamatatizo yetu Jamani , wewe badala ya kuwa busy na Bwana unataka kumfuatilia aliyeachika/acha ...yaani kama Mashindano fulani uone kavaa nini , kaposti nini , Mwenyewe unajiona Maali ...:blabla:.Wanaume wanatufanya tunaonekana Manyangau sana...Diamond bado kijana Mdogo sana Bado anasafari Ndefu sana ya Kubadilisha Wanawake ...Bado sana ...Bora Wema aliamka akasepa! :ranger:

Insecurities tu my ndugu, kwa nini Usumbuke na Mtu aliyepita as long as Hakudhuru wala hashughuliki na wewe? Anyway tuache project iendelee
 
Kabisa

Yaani imeonyesha bi zarinah hakali anafatilia nyendo za wema....

Halafu wema mwenyewe kala kobisi tu....

Kulike tu nahisi kusingeleta maneno mengi as ingeonekana like they are ok na wema basi. But kalike afu aka-unlike fasta (kwa nilivyosikia) inaleta picha ya tofauti kidogo as imeonekana ni kama anamfatilia wema kisiri siri afu akalike video bahati mbaya, alivyogundua aka-unlike fasta. Sipati picha huko insta mwee
 
Kabisa

Yaani imeonyesha bi zarinah hakali anafatilia nyendo za wema....

Halafu wema mwenyewe kala kobisi tu....
Kwa Kweli kwa Hapo namsifu Wema, hata Kama kimoyomoyo anaumia, at least kaonyesha ukomavu kwa kutokusema chochote.
 
Sana...

Kwa Kweli kwa Hapo namsifu Wema, hata Kama kimoyomoyo anaumia, at least kaonyesha ukomavu kwa kutokusema chochote.

Umeona (sijui ni ndugu wa ivon) alichopost insta????

Ndio habare ya mjini

Nimeiona kwa doug ikabidi ninsake jamaa hadi kwenye akaunti yake

Sijui ndio kutafuta follower kwa nguvu au wamepata sababu maana zari hakuolewa kwa kuwa ndugu wa mwanaume hawakumtaka
 
Attachments

  • 1420570745921.jpg
    1420570745921.jpg
    58.8 KB · Views: 833
Watu tuache kuchonga..kila mtu na life yake duniani...atembee na jimama asitembee nalo inahusu.?? Tena hasa sisi wanawake tunachonga sana na kutukana hovyo huko insta...na ukicheki profile zao wengi ni hovyoo...km sio wivu nini..mnataka diamond awachovye nyie..let the man live his life...mwsho wa siku yeye ndo atajua na muumba wake...ni wanawake wangapi humu wanalalwa na mizee size za baba zao...ni wanaume wangapi wameo hao mnaoita wakubwa...banana zoro mbona halingani na mkewe sana tuu na hamchongi au kwakua hamkua na smartphone wakt wanaoana.huyo shilole na mziwanda...let them be...wawe happy wasiwe happy ts their lives.....HAYATUHUSU tuache majungu Dinazarde shogangu upo
 
Last edited by a moderator:
Sana...

Umeona (sijui ni ndugu wa ivon) alichopost insta????

Ndio habare ya mjini

Nimeiona kwa doug ikabidi ninsake jamaa hadi kwenye akaunti yake

Sijui ndio kutafuta follower kwa nguvu au wamepata sababu maana zari hakuolewa kwa kuwa ndugu wa mwanaume hawakumtaka

Ahsante reporter wangu wa insta hahaha.
Daah that was too much, Huyo Ana personal issues na zari kabisa. Kisa cha kumtukana mwenzie? Kwani haitokeagi Mzazi akamiss Kuwa na mwanae on his/her birthday?....... Ila hiyo sentensi yake ya Mwisho imenikumbusha " UN summit" hahaha
 
mondi kula mzigo huoo
birthday birthday afu dogiemasta bwana hana ht haya hv siku zary na wema wakikutana wakaelewana atajiskiaje ataendelea kutukana vile au ataanza msifia zary?
maana kipindi cha peny kmatukana dada wa watu weee!!
peny kimyaa!!wameelewana akaanza kujishaua kumfagilia peny
kajala nae hvyo hvyo
SIJAWAHI ONA MNAFIKI KM DOGIE MASTA,SHANGAZIWAMATIKIBOKOYAO,MATIKIBOKOYAO NA TEAM WEMA WOTE
Maana wema anajua kuwaumbua vbaya akirudiana na daimond matusi yanaisha na kuanza kumsifia dai
swali hv mnamchagulia daimond mwanamke?
kwani wema ni nani asiachwe na daimond?
mmesahau kampeni ya bringback ur wema ?
mlitaka ambrought vp may be?
kawarudishia mnamtukana
jamani mi sio shabiki wa dai but for this namuunga mkono sana
tunajua mna stress team wema maana zari ht km ana 60yule dada mkareeeeee huo ndo ukweli
na AMEWAKALISHA TEAM MAVIMAVI WOTE
expectations zenu zimeprove faire maana mlishajipanga mumtukane meninah mkajua ataenda kwa binti atick but mambo yamekua VICE VERSA kavuka boda
Na mlijua VAN VICKER atafanya kweli kwa wema dah poleni sana van anaigiza na warembi wema nnya tu kaigiza kasepa au km alihit amerun mi sijui
hamna kurushana roho tena hao!!
poleni sana mnaweweseka sana wanafki nyieee
 
Sana...

Umeona (sijui ni ndugu wa ivon) alichopost insta????

Ndio habare ya mjini

Nimeiona kwa doug ikabidi ninsake jamaa hadi kwenye akaunti yake

Sijui ndio kutafuta follower kwa nguvu au wamepata sababu maana zari hakuolewa kwa kuwa ndugu wa mwanaume hawakumtaka

Heaven on Earth do the needful nami nipate kuisoma vizuri hiyo screen shot, hapo maandishi madogo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom