Jinsi dogi anavyoandika.. upeo wake (kupitia mwandiko) na jinsi Mange anavyoandika na upeo wake.... mbona ipo clear ni watu 2 tofauti????
Huyo mkaka ni dereva na mmeona hajakataa na ndio maana alijuwa na mwanawe garini. Tunajuaga kuna wafanyakazi wanaosaidiwa kupanda na mabosi pia,na pesa anazoringishia za bosi.
Kuhusu msg anaweza kuwa ameweka kusevu namba ya zari kwa simu ya pili then akaweka picha na kujitumia na kujibu.
Hayo mashambulizi yake ni ya kupanga sio ya kusubiria aombwe pesa.
Kila kitu kinawezekana duniani na mtandaoni.
Mie naweza kukutumia screenshot imeandika jina lako nikaishia kusevu kama jamiiforun.
Na pia kwa whatsapp etc unaweza copy profile picha ya mtu na kui save kwa simu yako.
Huyo kama hajaniingia kukubali upuuzi anaopost. Watafikishana mbali esp kwa kutumia mtoto wa Zari.
Insta yake ipo public from jana to leo kapata more than 3k followers na ni watanzania. Amepata alichotaka umaarufu sasa anavuta toto za ki TZ kuwaonyesha pesa watawavuta hadi wachoke as kwa UG qapo kawaidabwengi wana style ya kuringishia pesa zao na za wakaribu nao sooooo watu hawawadandiii hivyooooo.
Ajakanusha kuwa dreva, jiulizeni anajipanga kuleta ----- gani tena.
Mie naangalia movie
Ya huyo Mang anakumbia jurusha akiambiwa mwanae kapuga videos alupoenda lond, na doooggi ana uongo mwingicwa kuzungusha sana maneno yake as kujiongelea... Tusubiri wanampikia msosi watu
Kama sio yeye watajijy mie naangalia movie ya wabongo wengi wasiotaka kuendelea na kuishia kuwa na chuki na wasiowajua.
Kwangu ni burudani nikiwa free najisomea ya mfano wa Kim na Kanye wa EA. Wakitumia kupaishwa huku kuvuta pesa nitafurahi...