Zarina ndani ya dela ya mama Diamond

Zarina ndani ya dela ya mama Diamond

Inasikitisha pale binadamu anapoamua kukosoa uumbaji wa Mola, unawezaje kumwita mtu; "fidodido", "matende", "ndomo" au "michirizi". Tuwe na hofu ya Mungu, wengine hawajazaa na hawajui watajaliwa nini na Mola.
 
Eti toka ubindoni ni kwamba yule aliyeNDIKA KUTAFUTIA WABAWAKE WANAUME KWA KUSAKA KAMA ALIVYOSAKA KWA MZUNGU HUYU NDIO MKENGE UKAMWINGIA NDIE DDOUGGIE MASITA WA INSTA (NIMECHAKACHUA SPELLING MAKUSUDI)

DM NDIO MK. KUMEKUCHA EVIDENCE ETI ZIPOOOOOOO.

TENA KAINGIA BONGO KIMYA KASEPA, BASI WENYE WIVU WAANARIAJE NOW TEAM MABABU(WANAOTOKA NAO)

OK NAMI NIMEWASILISHA

hamna sio yeye japo mie sie mshabiki wa mange ht kidogo sio yeye yule kuna mtu mi namhisi ndo yeye
 
Jinsi dogi anavyoandika.. upeo wake (kupitia mwandiko) na jinsi Mange anavyoandika na upeo wake.... mbona ipo clear ni watu 2 tofauti????

Huyo mkaka ni dereva na mmeona hajakataa na ndio maana alijuwa na mwanawe garini. Tunajuaga kuna wafanyakazi wanaosaidiwa kupanda na mabosi pia,na pesa anazoringishia za bosi.

Kuhusu msg anaweza kuwa ameweka kusevu namba ya zari kwa simu ya pili then akaweka picha na kujitumia na kujibu.

Hayo mashambulizi yake ni ya kupanga sio ya kusubiria aombwe pesa.

Kila kitu kinawezekana duniani na mtandaoni.

Mie naweza kukutumia screenshot imeandika jina lako nikaishia kusevu kama jamiiforun.

Na pia kwa whatsapp etc unaweza copy profile picha ya mtu na kui save kwa simu yako.

Huyo kama hajaniingia kukubali upuuzi anaopost. Watafikishana mbali esp kwa kutumia mtoto wa Zari.

Insta yake ipo public from jana to leo kapata more than 3k followers na ni watanzania. Amepata alichotaka umaarufu sasa anavuta toto za ki TZ kuwaonyesha pesa watawavuta hadi wachoke as kwa UG qapo kawaidabwengi wana style ya kuringishia pesa zao na za wakaribu nao sooooo watu hawawadandiii hivyooooo.

Ajakanusha kuwa dreva, jiulizeni anajipanga kuleta ----- gani tena.

Mie naangalia movie

Ya huyo Mang anakumbia jurusha akiambiwa mwanae kapuga videos alupoenda lond, na doooggi ana uongo mwingicwa kuzungusha sana maneno yake as kujiongelea... Tusubiri wanampikia msosi watu

Kama sio yeye watajijy mie naangalia movie ya wabongo wengi wasiotaka kuendelea na kuishia kuwa na chuki na wasiowajua.

Kwangu ni burudani nikiwa free najisomea ya mfano wa Kim na Kanye wa EA. Wakitumia kupaishwa huku kuvuta pesa nitafurahi...
 
Inawezekana anatoka na huddah maana nimeona pics za huddah

Hapa itakua either ametumwa na ivan au ndio wake watafuta 7maarufu

Na sasa hivi anaupata follower wameongezeka na comment zinafika 800 na ushee heheheh

Wanatafuta umaarufu kupitia Zari baada ya kuanza ku enjoy EA.

Inashangaza mwanamke yupo hana bwana hawakumsaka kumtusi.
 
Selaa alikuwa anataka mazoea kwa kuchat(kujifanya hajui halafu anajua khs Diamond & Zarih),halafu ulivyokuwa unamjibu kwa ukarimu kila comment yake na kwa haraka bila kumchomesha mahindi akachukulia hata mambo mengine yatakuwa mepesi vivyo hivyo. Picha yako imemponza,inaonyesha una aibu halafu una huruma. Hajui hizi ni ID fake?

hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ur correct kwakweli.....
 
Oohh ohhh nyingiii haya matonya grade one amejulikana. Mwenye macho yake ameona mbishi ni yule mwenye chuki binafsi na Wema. Mbona mengi yatawekwa wazi...subiri manake file lake lipo wazi. Mtamhisi Sana dougiemasta. Ila ukweli anao yeye (a.k.a Mimi.... haha I'm so good when it comes to giving fools the benefit of doubt). Namuona mama kocha wa timu kubwa ameamua kujitoa akili kutukana as if analipwa. Chuki binafsi kwa mtoto wa mariam sepetu zitawaua khaaa
 
Back
Top Bottom