Zarina (Zaituni) Tlale: Mwanamke pekee aliyewakalisha mastaa wa bongo

Zarina (Zaituni) Tlale: Mwanamke pekee aliyewakalisha mastaa wa bongo

Mrs Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
1,002
Reaction score
2,278
Wana jamvi asallam aleykum
Kabla ya yote ninaomba niweke wazi kwamba Mimi nilikuwa shabiki namba mmoja wa mastaa uchwara wa Tanzania hasa wema sepetu (kwa jina maarufu nyumbu au bongolala).

Miaka ya 2014 /2015 kama sikosei mwanadada maarufu kama zari alianza kutawala vinywa vya watu na magazeti pendwa (ya udaku) baada ya kuanza kuwa kwenye mahusiano na mwanamuziki pendwa diamond platnumz.

Sio kwamba kabla ya hapo zari hakuwepo ailkuwepo ila kitendo cha kuivunja ngome ya mapenzi baina ya wema na nassib kilitikisa ulimwengu wa Mapenzi na kuwafanya watawale midomoni mwa watu walio wengi.

Kabla ya hapo mastaa uchwara kama wema , uwoya , aunt Ezekiel na wengineo walijiona wao ndio wako juu kwa mafanikio (ambayo hata kazi halali za kuingiza vipato vyao hazikujulikana).

Ujio wa Zari ulituaminisha kwamba kumbe hawa akina nyumbu sepetu sio lolote sio chochote mbele ya wanawake watafutaji na wenye mipango kama zari.

Zari ni brand , zari unaweza kumuweka dhamana ukaombea mkopo bank, zari pamoja na Ivan kufa lakini bado watoto anawasimamia vizuri ikiwemo Mali alizoachiwa.

Ninamsikitikia kijana diamond kwakuwa alishindwa kuitambua hii tanzanite sasa amebaki hana mbele wala kati anabaki anachakaa tu.

Kweli asante zari kwa kuwa uliweza kuwakalisha chini mastaa uchwara. Sasa cha ajabu badala wajifunze kwake wakabaki kuanzisha chuki hasa baada ya kuona dili walizopaswa wapewe wao anapewa mgeni kwa kuwa ana akili Kubwa.
Zari utabaki kuwa kileleni, zari utabaki mawinguni.

Juzi juzi Bi Mariam mama ake nyumbu (wema) alituomba watanzania tumsaidie kumlea mwanae maana yeye ameshindwa. Sasa bi mkubwa kinyago chako mwenyewe ulichokichonga kama kinakutisha sisi ndio tutakiweza?

Mama pambana na Mzigo wako maana hata sisi hatuuwezi. Ukweli wema amepotea mazima.

Wema anagongea hadi huku 10, wema sasa hivi anagombea mabwana na wake wa makondakta wa coaster (ushahidi upo). Kwakifupi bora hata akina uwoya na Ezekiel ila wema ashakalishwa mazimaaa.

Alijua akikata utumbo atapata soko ila wapiiii hali bado tete. Hata million tu imemshinda....duka nalo limemshinda. Amebak stori kwamba 2006 nilikuwa miss tanzania.

SHIKAMOO ZARI. Na asante kwa kutukomeshea hawa wadangaji.
 
kweli kawakomesha asee

atlist hamisa anafuata mapito ya zari sema anapita kishamba sana.
ila atafika tuu 😂😂😂
 
Zari ni kiboko ya nyumbu. Amemchakaza akamtoa kwenye reli. Imebak story
 
Nonsense
naijatwittersavages-20190528-0001.jpeg
 
Back
Top Bottom