Zauza miti ya mbao aina ya PINE

Zauza miti ya mbao aina ya PINE

lillies

Member
Joined
Oct 2, 2012
Posts
47
Reaction score
16
Habari wana Jnvi, Nauza miti pamoja na ardhi heka 5. bei ni 15,000 miti ina miaka 6.
Kwa mawasiliano 0755238761.
 
Haujaeleweka ,haujataja ilipo bei yenyewe unaonyesha haupo serious ,
 
Haujaeleweka ,haujataja ilipo bei yenyewe unaonyesha haupo serious ,
Samahani sana Mkuu ni kweli niko serious miti ipo mkoa wa Njombe na bei yake ni 15,000,000.kwa hizo heka 5 pamoja na land.
 
Back
Top Bottom