Zawadi bora kwa ajili ya mpedwa wako

StepArts

Member
Joined
Apr 27, 2023
Posts
19
Reaction score
25
Tushaingia mwezi wa wapendanao. Kama ulikua unajiuliza zawadi ya kuwapatia wapendwa wako, suluhisho liko hapa.

Jipatie mchoro halisi kwa ajili ya mpendwa wako mwezi huu wa valentine.

Napatikana Mbeya mjini ambapo ukiwa mbeya nakufikishia mwenyewe mpaka uliko ukiwa nje ya mbeya tunatuma pia.

Karibu sana

Mawasiliano: 0785663173


 
Hongera sana kwa kipaji, rafiki.

Kipenda roho atapata hiyo zawadi.
 
Mhm!! Nawaza ule mbichwa wa mtoto wa mama mkwe utaweza kweli kuuchora..?!!!
Au ndiyo natafuta husiano kufa kabisa.!!
Ana bichwa km la sokomoko
Hahaha!!
Asije akakusikia,,Bei nafuu karibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…