Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Haya nampa ila akinichora na kichogo usimlipe 🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya nampa ila akinichora na kichogo usimlipe 🤣🤣🤣
Ahsante MkuuA4 - 40000
A3 - 80000
A2 -150000
Zinakua framed kabisa kwa aluminium frame ama frame za mbao chaguo lako..
Karibu
Lakini hilo bichwa sii ndio linakuhudumiaMhm!! Nawaza ule mbichwa wa mtoto wa mama mkwe utaweza kweli kuuchora..?!!!
Au ndiyo natafuta husiano kufa kabisa.!!
Ana bichwa km la sokomoko
Uko vizuriA4 - 40000
A3 - 80000
A2 -150000
Zinakua framed kabisa kwa aluminium frame ama frame za mbao chaguo lako..
Karibu
Ww mzee kiba100 embu tulia kwanza 😂😂😂Lakini hilo bichwa sii ndio linakuhudumia
Uzee mwisho chalinze huku dar wote vijana.Ww mzee kiba100 embu tulia kwanza 😂😂😂
🤣🤣🤣Uzee mwisho chalinze huku dar wote vijana.