Haya nampa ila akinichora na kichogo usimlipe π€£π€£π€£
Ahsante MkuuA4 - 40000
A3 - 80000
A2 -150000
Zinakua framed kabisa kwa aluminium frame ama frame za mbao chaguo lako..
Karibu
Lakini hilo bichwa sii ndio linakuhudumiaMhm!! Nawaza ule mbichwa wa mtoto wa mama mkwe utaweza kweli kuuchora..?!!!
Au ndiyo natafuta husiano kufa kabisa.!!
Ana bichwa km la sokomoko
Uko vizuriA4 - 40000
A3 - 80000
A2 -150000
Zinakua framed kabisa kwa aluminium frame ama frame za mbao chaguo lako..
Karibu
Ww mzee kiba100 embu tulia kwanza πππLakini hilo bichwa sii ndio linakuhudumia
Uzee mwisho chalinze huku dar wote vijana.Ww mzee kiba100 embu tulia kwanza πππ
π€£π€£π€£Uzee mwisho chalinze huku dar wote vijana.