ni kweli kabisa ni mimi haya ninayosema ni kweli, huyu wa sec ninaye siku nyingi na anaheshima sana, haombi ombi pesa, ndio maana nikasema ni my wife to be, yuel mwingine mwizi tu, mapenzi gani ya pesa. halafu kama unakumbuka kulikua na mada hapa ya kupima kati ya wapenzi ulio nao yupo anafaa, so huyu wa cha 6 mwana anafaa sana, tena w/end hii alikuja kwangu kunipikia, namsubiri chuo aje tule maishaGudboy,nimekumbuka kitu sio wewe ambae ulikuja kuomba ushauri kuwa kuna demu yuko chuo unamtumia voucher,unamwonyesha kujali lakini yeye wala na ukatwambia pia na wewe uko chuo? Au nachamganya habari? Naomba unieleweshe please.Maana tena leo naona umetujia kivingine kuwa wife to be amefaulu mtihani wa form six.
Huyu ndiye yule uliyetuambia yuko chuo na anakubomu sana vocha lakini hakupigii wala kukutumia msg? Usiniambe alikuwa ana resit form six! Alikuwa chuo gani ambacho kilimpokea kabla hajamaliza form six? Mpe hongera, nakushauri mpe zawadi ya voucher.
huyu ni mwingine mkuu, yule siku hizi hata simpigii basi ananisumbua kwa kujidai anajua kucare, eti kila mara ananitafuta, na hapo alipo tumbo joto, matokeo yakitoka akishikwa 2 tu amekula mweleka, maana anadaiwa 2 tena semester iliyopita, hivyo anapumulia mpira ICUHuyu ndiye yule uliyetuambia yuko chuo na anakubomu sana vocha lakini hakupigii wala kukutumia msg? Usiniambe alikuwa ana resit form six! Alikuwa chuo gani ambacho kilimpokea kabla hajamaliza form six? Mpe hongera, nakushauri mpe zawadi ya voucher.
ni kweli kabisa ni mimi haya ninayosema ni kweli, huyu wa sec ninaye siku nyingi na anaheshima sana, haombi ombi pesa, ndio maana nikasema ni my wife to be, yuel mwingine mwizi tu, mapenzi gani ya pesa. Halafu kama unakumbuka kulikua na mada hapa ya kupima kati ya wapenzi ulio nao yupo anafaa, so huyu wa cha 6 mwana anafaa sana, tena w/end hii alikuja kwangu kunipikia, namsubiri chuo aje tule maisha
nimefafanua mkuu hapo hebu cheki, mpo sahihi wote jamaniChriss kumbe tuna kumbukumbu nzuri,nilifikiri kuwa nimekosea kwamba si huyu alietwambia kuwa ana demu yuko chuo,nimeshangaa leo kutujia tena na kutwambia pia wife to be amefaulu mtihani wa kidato cha sita,nimemwomba atueleweshe yupi ni yupi.
Chriss kumbe tuna kumbukumbu nzuri,nilifikiri kuwa nimekosea kwamba si huyu alietwambia kuwa ana demu yuko chuo,nimeshangaa leo kutujia tena na kutwambia pia wife to be amefaulu mtihani wa kidato cha sita,nimemwomba atueleweshe yupi ni yupi.
wewe ndio huelewi, uliza pole pole sio unadandia treni kwa mbele. Kwa faida yako ni mtihani wa MOCKkama kamaliza form six it means she should have got her exams result in april 2009.sasa haya matokeo ya mwezi wa kumi na moja kasoro siku nne yananichanganya.
huwezi kungojea chuo coz kama amemaliza six lazima atakuwa univeristy/clege alredy.
ACHA KUCHANGANYA HABARI.
vp inalipa mkuu, je zawadi gani inamfaa shem wako kaka
kama kamaliza form six it means she should have got her exams result in april 2009.sasa haya matokeo ya mwezi wa kumi na moja kasoro siku nne yananichanganya.
huwezi kungojea chuo coz kama amemaliza six lazima atakuwa univeristy/clege alredy.
ACHA KUCHANGANYA HABARI.
Jamani wana JF naomba mnisaidie kwenye hili, kuna mchumba wangu jana kanipigia simu na kunifahamisha matokeo yake ya kidato cha 6 kuwa amepata I point 9. sasa nilimwambia akipata hiyo nitampa zawadi, je ni zawadi gani inamfaa my wife to be
ahsanteni sana kwa mawazo yenu
wewe ni kilaza ndio maana ukaanguka, lakini wenzio huwa tunamaintain au kupata za juu zaidi. sasa kama ulibweteka ulitegemea itakuja hiyo hiyo au muujizaMBONA SIONI NENO MOCK HAPA????????????????
Tumsaidiaje mtu huyu?
nijuavyo mimi matokeo ya mock si kipimo cha kumpima mtu kuwa ataenda chuo?
si ni yale matokeo watu wanasahihisha hovyo hovyo au nimekosea?
kma kapata 1.9 mock mtihani wa mwisho ni three.
mfano mimi nilipataga 1 ya tatu mock ila nikaangukia pua wa kumaliza kwa 1 .5 sasa unatueleza nini wewe?
wewe ni kilaza ndio maana ukaanguka, lakini wenzio huwa tunamaintain au kupata za juu zaidi. sasa kama ulibweteka ulitegemea itakuja hiyo hiyo au muujiza