Zawadi gani inamfaa huyu

Zawadi gani inamfaa huyu

Hello you are giving the words 'gudboy' a bad name. Gudboy in deed!!!
 
Kama ni utoto unamsumbua sisi hatusubiri mpaka akue huyu atawaambukiza wenzake,hapa ni mwendo wa viboko mpaka atie heshima kwa wakubwa zake,wana JF tusilee magonjwa hapa ni matibabu kwa kwenda front!!

Umenena mkuu naunga mkono hoja,na haya matibabu tuendelee kuyatoa kwa yeyote yule ambae anaonekana anataka kutuletea mchezo hapa.
 
USIMPE ZAWADI YA U.E.ME,vingine mpe
 
kama kamaliza form six it means she should have got her exams result in april 2009.sasa haya matokeo ya mwezi wa kumi na moja kasoro siku nne yananichanganya.
huwezi kungojea chuo coz kama amemaliza six lazima atakuwa univeristy/clege alredy.

ACHA KUCHANGANYA HABARI.
Jamani mimi hata sijaendelea kusoma manake leo mshikaji kaamua kutudanganya!! Matokeo gani ya form six mwezi huu wakati watu ndio wanajiandaa kwenda kufanya mitihani hiyo hapo mwakani mwezi february. Au nyie Wakenya ndugu Gudboy! LOL! Kalagabhao
 
Bata, nami nilikua nashangaa matokeo hayo ni ya form six iliyomaliza lini? nilitaka nimwulize lakini nakushukuru kwa kuuliza hilo,nimekugongea thanks kule.

Huyu dogo analeta story za kutunga hajui kwamba hapa JF kuna vichwa? Aseme sasa hiyo form six ni ya nchi gani alikokuwa anasoma huyo mchumba? Maana hapa TZ hapana!!!!!

Tiba
 
@badboy: Usipende kucheza na akili za watu sawa....?
 
Back
Top Bottom