Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,746
kama kamaliza form six it means she should have got her exams result in april 2009.sasa haya matokeo ya mwezi wa kumi na moja kasoro siku nne yananichanganya.
huwezi kungojea chuo coz kama amemaliza six lazima atakuwa univeristy/clege alredy.
ACHA KUCHANGANYA HABARI.
wewe ndio huelewi, uliza pole pole sio unadandia treni kwa mbele. Kwa faida yako ni mtihani wa MOCK
Hivi Gudboy una wachumba wangapi maana kila demu mchumba duh mkuu tutakuzika hivi punde na yule demu wa Mafinga je au ndo yeye kaua six?
Nimechanganyikiwa na matokeo ya Form Six October, au hii ni thread ya April! Nipeni ufafanuzi.
vp inalipa mkuu, je zawadi gani inamfaa shem wako kaka
Fidel80 hivi ndo huyu ndo yule aliefadhiliwa na kaka wa rafiki yake kule mafinga na akam-mega dada wa rafiki yake kule?
wewe ni kilaza ndio maana ukaanguka, lakini wenzio huwa tunamaintain au kupata za juu zaidi. sasa kama ulibweteka ulitegemea itakuja hiyo hiyo au muujiza
umepatia! ndio huyu huyu....
Poa mi kilaza ila HATA ONE YA POINT TISA TENA ya mock unaona maajabu.mbona ni kitu cha kawaida ngoma ni NECTA BABU.😕
...safi sana wanajamii,
keep up this spirit!
Kumbe wengine wanafikiri hapa ni wanja la porojo na alinacha?
...ukimtandika nyani usimwangalie usoni,...Mikwaju tu mpaka kumkoma nyani 'Giladi'!
ni kweli kabisa ni mimi haya ninayosema ni kweli, huyu wa sec ninaye siku nyingi na anaheshima sana, haombi ombi pesa, ndio maana nikasema ni my wife to be, yuel mwingine mwizi tu, mapenzi gani ya pesa. halafu kama unakumbuka kulikua na mada hapa ya kupima kati ya wapenzi ulio nao yupo anafaa, so huyu wa cha 6 mwana anafaa sana, tena w/end hii alikuja kwangu kunipikia, namsubiri chuo aje tule maisha
Makubwa huyu mtoto ana matatizo ya kumtosha,napata wasiwasi sana,sidhani kama huyu ni mwanafunzi wa chuo,nahisi wala hasomi ni mwongo huyu.
Triplets hebu tafakari alitujia na story ya mafinga,ikaja ya dada wa chuo,leo tumeletewa ya form six,cheka sasa form six huyo matokeo yake yametoka mwezi wa kumi,mmmhh hivi hajui hapa kuna watu makini ambao wana upeo mkubwa wa kuelewa mambo? Lakini kakikua kataacha.
ha ha haa nimecheka sana Msindima, jamaa imebidi aikimbie thread aliyoanzisha mwenyewe....
Unampenda kwa sababu hana gharama na wewe ehee!!, na kwa vile bado mtoto, wazazi wake wana-take care. Fikiria mkuu dezo aghali. Naye atafikia muda atahitaji your full support sijui utamkimbia?.
Hujatulia wewe, usimharibu binti wa wenzio, mwache asome ajikomboe kimaisha.
Zawadi, mnunulie vitabu anavyohitaji kuendelea na masomo yake.
Baa weweee,uchitudanganye wana wawenjio,kama,jawadi mpe tuu,lakini chichi hatupendi chifa ja kijinga mwee!!ni kweli kabisa ni mimi haya ninayosema ni kweli, huyu wa sec ninaye siku nyingi na anaheshima sana, haombi ombi pesa, ndio maana nikasema ni my wife to be, yuel mwingine mwizi tu, mapenzi gani ya pesa. halafu kama unakumbuka kulikua na mada hapa ya kupima kati ya wapenzi ulio nao yupo anafaa, so huyu wa cha 6 mwana anafaa sana, tena w/end hii alikuja kwangu kunipikia, namsubiri chuo aje tule maisha
Kama ni utoto unamsumbua sisi hatusubiri mpaka akue huyu atawaambukiza wenzake,hapa ni mwendo wa viboko mpaka atie heshima kwa wakubwa zake,wana JF tusilee magonjwa hapa ni matibabu kwa kwenda front!!Bata, achana nae huyu,ukifatilia mlolongo wa story zake ndo utajua huyu jamaa siye,kwa hiyo hata kama anakuita kilaza dont mind,maana ukisoma point zake na zako yeye ndo anaonekana kuwa ni KILAZA.Tuachane na naye ni utoto tu unamsumbua akikua ataacha.