Quetzal JF-Expert Member Joined Dec 9, 2018 Posts 6,343 Reaction score 10,799 Dec 25, 2020 #21 Pisi kali said: Upendo.. niliyenaye ananipa upendo wa hali ya juu Yani haupimiki[emoji7][emoji7] ni zawadi kutoka kwa Mungu naona[emoji1431] from the day we met hadi sasa Click to expand... Hadi nimesikia wivu.... Ila SIO wivu mbaya
Pisi kali said: Upendo.. niliyenaye ananipa upendo wa hali ya juu Yani haupimiki[emoji7][emoji7] ni zawadi kutoka kwa Mungu naona[emoji1431] from the day we met hadi sasa Click to expand... Hadi nimesikia wivu.... Ila SIO wivu mbaya
Quetzal JF-Expert Member Joined Dec 9, 2018 Posts 6,343 Reaction score 10,799 Dec 25, 2020 #22 Singasinga said: Nilimtengenezea frame kubwa yenye picha yake alifurahi sana ingawa haikuzuia kuendeleza mahusiano mengine na wanaume wengine Click to expand... [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Singasinga said: Nilimtengenezea frame kubwa yenye picha yake alifurahi sana ingawa haikuzuia kuendeleza mahusiano mengine na wanaume wengine Click to expand... [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Pisi kali JF-Expert Member Joined Dec 31, 2019 Posts 1,234 Reaction score 2,535 Dec 25, 2020 #23 Kijana wa jana said: Zawadi kutoka kwa Mungu au zawadi kutoka kwa mume wako? [emoji12][emoji12] Click to expand... Yani yeye (mume wangu) ni zawadi niliyopewa na Mungu
Kijana wa jana said: Zawadi kutoka kwa Mungu au zawadi kutoka kwa mume wako? [emoji12][emoji12] Click to expand... Yani yeye (mume wangu) ni zawadi niliyopewa na Mungu
Pisi kali JF-Expert Member Joined Dec 31, 2019 Posts 1,234 Reaction score 2,535 Dec 25, 2020 #24 CreditAnalyst said: Hadi nimesikia wivu.... Ila SIO wivu mbaya Click to expand... Hahah Yani namshukuru Mungu Kwa kweli nilikua nayaona kwenye sinema za kihindi tu now nayashuhudia kwangu Alhamdulillah Utampata tu na wewe dear[emoji8]
CreditAnalyst said: Hadi nimesikia wivu.... Ila SIO wivu mbaya Click to expand... Hahah Yani namshukuru Mungu Kwa kweli nilikua nayaona kwenye sinema za kihindi tu now nayashuhudia kwangu Alhamdulillah Utampata tu na wewe dear[emoji8]
Shing Yui JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 15,168 Reaction score 38,049 Dec 25, 2020 #25 Pisi kali said: Yani yeye (mume wangu) ni zawadi niliyopewa na Mungu Click to expand... Basi sawa