yy cyo mwanafunzi.Ni vizuri akamchunguza mwenyewe. Maana kitu kama saa mimi hua sivai mtu akinipa ntapokea ila hatokaa anione nayo. Kwasababu ni mwanafunzi anaweza akamnunulia vitu vinavyohusiana na shule.Au nguo/viatu kama anajua style na size yake.Kitu kingine ambacho kila mtu anahitaji ni chakula kama alivyosuggest Boss, sema hii inategemea anaishi na wazazi au la, na kama anaishi na wazazi wawe wanamjua mshkaji.Au amkabidhi cash msichana aangalie mwenyewe nini anahitaji.
Fuata ushauri wa The Boss,kiroba cha mchele na kuku wako mkononi. Try to be romantic in an african way.
Kaka naona taratibu unataka kuvamia nyumba yangu....Lizzy nimemgharamikia sana zawadi zake hamna mtu JF anayeweza kumpelekea...ndio maana tf anajaribu kila njia kukupata ila unaweka pozi..! ndio maana huna mpenzi...! twende.. twende..twende.. kichwa kammmmma... ilooooooo:eyebrows:
Kaka naona taratibu unataka kuvamia nyumba yangu....Lizzy nimemgharamikia sana zawadi zake hamna mtu JF anayeweza kumpelekea...
jamani mm natokea masomoni.ntafka kwetu ck ya jumatano....najiuliza nimpelekee zawadi gani mpenzi wangu wa kike ambayo ataiona ni nzuri kwake? nishaurini jamani......
We're enjoying a long weekend in Zanzibar until MondayHedmasta wa mazawadi umerudi?
Leo Lizzy umemficha wapi anaonekana kwa manati kweli
We're enjoying a long weekend in Zanzibar until Monday
We're enjoying a long weekend in Zanzibar until Monday
Utajibebajeeeeee.....lolNyooo! u wish ....
ungeshazima simu, komputa, na TBC1
mweh! sio kila mtu ana miondoko hiyo..........kwani toka akae naye mda wote huo hajui ka anapenda nn huyo mpz we jamani loh!Mtafutie vidani vizuri vya kuitamaduni...
Si unajua tena hawa wajuba full kukuulizia nikaona isiwe tabu halafu kuja huku tulipo hadi wakodi ndege binafsi sasa sijui kama wataweza..Kwahiyo unawaambia ili?Sitaki wazamiaji.
mweh! sio kila mtu ana miondoko hiyo..........kwani toka akae naye mda wote huo hajui ka anapenda nn huyo mpz we jamani loh!
Kwahiyo unawaambia ili?Sitaki wazamiaji.
Si unajua tena hawa wajuba full kukuulizia nikaona isiwe tabu halafu kuja huku tulipo hadi wakodi ndege binafsi sasa sijui kama wataweza..
Si unajua tena hawa wajuba full kukuulizia nikaona isiwe tabu halafu kuja huku tulipo hadi wakodi ndege binafsi sasa sijui kama wataweza..
kwa kweli nyie Tom na Jery huwa nawamiss sometimes na hizi kimbizana zenu