zawadi gani nzuri

zawadi gani nzuri

Ni vizuri akamchunguza mwenyewe. Maana kitu kama saa mimi hua sivai mtu akinipa ntapokea ila hatokaa anione nayo. Kwasababu ni mwanafunzi anaweza akamnunulia vitu vinavyohusiana na shule.Au nguo/viatu kama anajua style na size yake.Kitu kingine ambacho kila mtu anahitaji ni chakula kama alivyosuggest Boss, sema hii inategemea anaishi na wazazi au la, na kama anaishi na wazazi wawe wanamjua mshkaji.Au amkabidhi cash msichana aangalie mwenyewe nini anahitaji.
yy cyo mwanafunzi.
 
Fuata ushauri wa The Boss,kiroba cha mchele na kuku wako mkononi. Try to be romantic in an african way.
 
ndio maana tf anajaribu kila njia kukupata ila unaweka pozi..! ndio maana huna mpenzi...! twende.. twende..twende.. kichwa kammmmma... ilooooooo:eyebrows:
Kaka naona taratibu unataka kuvamia nyumba yangu....Lizzy nimemgharamikia sana zawadi zake hamna mtu JF anayeweza kumpelekea...
 
Hedmasta wa mazawadi umerudi?
Leo Lizzy umemficha wapi anaonekana kwa manati kweli

Kaka naona taratibu unataka kuvamia nyumba yangu....Lizzy nimemgharamikia sana zawadi zake hamna mtu JF anayeweza kumpelekea...
 
jamani mm natokea masomoni.ntafka kwetu ck ya jumatano....najiuliza nimpelekee zawadi gani mpenzi wangu wa kike ambayo ataiona ni nzuri kwake? nishaurini jamani......

umepotea ndugu. kama hujui mpenzi wako anapenda nini , kweli ni mpenzi wako huyo?
 
Kwahiyo unawaambia ili?Sitaki wazamiaji.
Si unajua tena hawa wajuba full kukuulizia nikaona isiwe tabu halafu kuja huku tulipo hadi wakodi ndege binafsi sasa sijui kama wataweza..
 
mweh! sio kila mtu ana miondoko hiyo..........kwani toka akae naye mda wote huo hajui ka anapenda nn huyo mpz we jamani loh!

inawezekana hawajazoeana sana anataka ampe zawad ili aweze kumnasa kiulain
 
Naombeni lift, sipigi honi ya mdomo ntakuwa bize naangalia nje
Si unajua tena hawa wajuba full kukuulizia nikaona isiwe tabu halafu kuja huku tulipo hadi wakodi ndege binafsi sasa sijui kama wataweza..
 
Si unajua tena hawa wajuba full kukuulizia nikaona isiwe tabu halafu kuja huku tulipo hadi wakodi ndege binafsi sasa sijui kama wataweza..

Ahhh kumbe watu wenyewe wahivyo.Wapotezeee.
 
ina maana now ni TF na Lizzy.....???????
mbona kama mismatch? lol
 
We nenda kamkabidhi Visa/master card yako itatosha. Hayo mengine mbwembwe tu.
 
Back
Top Bottom