ina maana now ni TF na Lizzy.....???????
mbona kama mismatch? lol
Kama unatimiss mbona unaongezeka uzito?
Hehehe. . . embu badili tuone test yako ikoje kabla sijajibu swali la kwanza.
Boss Boss Boss.......ina maana now ni TF na Lizzy.....???????
mbona kama mismatch? lol
Natamani sana ajibu hili swali...:lol:Hehehe. . . embu badili tuone test yako ikoje kabla sijajibu swali la kwanza.
Hehehe. . . embu badili tuone test yako ikoje kabla sijajibu swali la kwanza.
Tobaaaaaa.....lizzy na mzizimkavu..
TF na eliza wa tegeta.....lol
lizzy na mzizimkavu..
TF na eliza wa tegeta.....lol
lizzy na mzizimkavu..
TF na eliza wa tegeta.....lol
Matokeo yamechakachuliwa laivu
siyataki haya
Na wewe ulikua wapi wakati anachakachua?
Kazi ushindwe wewe, mawe umrushie Boss.
Na wewe ulikua wapi wakati anachakachua?
Kazi ushindwe wewe, mawe umrushie Boss.
sasa nakuja ni ya ukweli sasa
stay tuned...lol
yaani nimeshaandaa popcorn na soda ready for this movie
:eyebrows::eyebrows:sasa nakuja ni ya ukweli sasa
stay tuned...lol
HahahahaahLizzy na NN
TF na GAIJIN......
Hapo vipi?
:shock::shock::shock:..........:faint::faint:Lizzy na NN
TF na GAIJIN......
Hapo vipi?
Plan za Boss sizielewi kabisa sijui....lolHahahahaah
Tutabishana mpaka kuhusu muda wa kuoga.
Fynest nae ataulizwa maswali mpaka "kwanini anataka kunywa cha saa moja na nusu na sio saa mbili". Sidhani kama tutasurvive.