zawadi gani nzuri

zawadi gani nzuri

Lazima aigongee like hiyo kapo la sivyo tunamwombea BAN kwa RR, sasa hivi si ni rafiki yetu?

Hehehe. . . embu badili tuone test yako ikoje kabla sijajibu swali la kwanza.
 
Kapanda mtini wakati wa kutangaza matokeo sasa mie leo sijavaa pedo nikaogopa watazamaji watanchungulia

Na wewe ulikua wapi wakati anachakachua?
Kazi ushindwe wewe, mawe umrushie Boss.
 
Lizzy na NN
TF na GAIJIN......

Hapo vipi?
Hahahahaah
Tutabishana mpaka kuhusu muda wa kuoga.
Fynest nae ataulizwa maswali mpaka "kwanini anataka kunywa cha saa moja na nusu na sio saa mbili". Sidhani kama tutasurvive.
 
Hahahahaah
Tutabishana mpaka kuhusu muda wa kuoga.
Fynest nae ataulizwa maswali mpaka "kwanini anataka kunywa cha saa moja na nusu na sio saa mbili". Sidhani kama tutasurvive.
Plan za Boss sizielewi kabisa sijui....lol
 
Back
Top Bottom