Zawadi ipi nzuri kwa mama mzazi wa Kitanzania?

Zawadi ipi nzuri kwa mama mzazi wa Kitanzania?

budebajr

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2016
Posts
380
Reaction score
226
Zawadi gani inafaa kumpa mama Mzazi wa kitanzania kumshukuru kwa mchango wake mzuri kama mzazi.

Nasubiri maoni yenu wakuu
 
Mama yeyoyote hufarijika kwa chochote ulichojaaliwa kumzawadia haijalishi kina ukubwa gani au udogo gani...ili mradi apokee kitu kutoka kwa mwanae kulingana na uwezo wako.
 
Zawadi gani inafaa kumpa mama Mzazi wa kitanzania kumshukuru kwa mchango wake mzuri kama mzazi.
Bajeti yako?
Kwani kila mzazi huwa an ndoto zake..ila hujinyima sana ili aweze kuwanufaisha watoto wake!!
sasa weka umri wake na uwezo wako ili tukusaidie!!
 
Umri wa mzazi (50's) Salarly Budget : 700,000
Mama au Baba ni wazazi waliyotosheka Duniani.. Hivo mpe ofa ya Vacation na cash money akatembelee nduguze awaliwaze na kukumbushana utoto wao na maisha waliyopitia.. NOTE:-Atarudisha nguvu na afya yake iliyopotea !!
be blessed ndg,
 
Blessings back ndugu! Ahsante wazo zuri sana na la kipekee.
 
Kama unakaa nae msikilize sana kile kitu ambacho mara nyingi analalamika kama nikipata hela nitafanya hivi au vile. Halafu ww mnunulie hakika furaha yake huwa ni ya kipekee
Ubarikiwe zaidi kwa kujali na kumkumbka bi mkubwa
 
Back
Top Bottom