Zawadi kwa mdada mwenye avatar yenye mvuto

zawadi ni nini!

^^
amu
Zawadi utajua tu,,nadhani kwa ilivyo kuna watu watamtolea kijicho! We piga kura au kampeni tu
^^
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
hiyo zawadi shusha kwangu bhana kwani wewe hujaona avatar yangu ilivyo super
 
Mie nikiwa mkaguzi wa avatar nawaleteeni top five mchague. Vigezo vyangu vya top 5 nitavieleza kwenye kila avatar:

1. Heaven on earth. quality: a modern woman who knows the use of cosmetics to portray beauty. Note the eye shade and the smooth skin.


2View attachment 99549 FP quality:Natural feminine beaty accentuted with feminine shyness. Appeals to manly eyes
 
Sasa hapa sini bongo mkuu au umesahau tena...............

^^
Rushwa adui wa haki,,rushwa ikiruhusiwa wanyonge hawana haki by Nyerere from the same bongo
^^
 

^^
Hii sasa takrima KURA NI MARA MOJA TU
^^
 
wazinguaji tu hawa
ngoja tuone hiyo zawadi[
QUOTE=amu;6676874]zawadi ni nini![/QUOTE]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…