Zawadi kwa mdada mwenye avatar yenye mvuto

3 Jestina quality: a healthy feminine smile accentuated with long hair and a full chest



4 Mamndenyi quality: a confident feminine posture enhanced by a genuine friendly smile




5 ladyfurahia quality: 100% feminine appeal due to smooth skin. feminine preening and satisfied confident look

Haya wajamani nimefanya kazi kuwa rahisi kwa kuwawekeeni hizi avatar tano.
 
kura yangu ni kwako
jaza majina yako yote hapa chini

^^
Mamndenyi
Piga kura usilaumu ohooo
^^[/QUOTE]
 
Nina wapambe wengi sana, msiniangushe ohooo, wakichoka kuongea sema niwapatie maji ya kunywa wapoze koo...takrima inaruhusiwa.

Hivi manoah yupo ??naye namuweka kuwa masaidizi wangu wa campaign.....
 
Last edited by a moderator:

^^
Kampeni nzuri nasubiri kura yako
^^
 
Last edited by a moderator:
abeee
hivi nilikuja kuitika
nambie mimisa wangu maana nimekurupuka huko nakuta kuna shindano hapa nambie kwanza umefikia wapi na mimi role yangu ni nn

^^
Tayari umepigiwa kura ya avatar yenye mvuto...kura zinaendelea.Yako inaenda wapi?
^^
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…