Zawadi kwa mdada mwenye avatar yenye mvuto

Hahaha Zahra White asante mpenzi.......ukipga kura yako unaita na rafiki yako aendeleze ulipoishia

Eti Madame B anasema niache kazi yangu ya umeneja kwako nimpigie kampeni yeye atanipa zawadi nzuri kuliko yako.. ....nikamwambia mi na wewe tumetoka mbali sitaweza kabisa. ......
 
Last edited by a moderator:
Eti Madame B anasema niache kazi yangu ya umeneja kwako nimpigie kampeni yeye atanipa zawadi nzuri kuliko yako.. ....nikamwambia mi na wewe tumetoka mbali sitaweza kabisa. ......

Ujue Madame B ni shost wangu, ila ngoja kwanza uchaguzi uishe ndipo ushosti utaendelea
 
Last edited by a moderator:

usinikumbushe ya miss chit chat..
 
Last edited by a moderator:
mmmmmhh shosti umetoka kuoga kwa babu tanga naona mpaka misukule inakupigia kura

Amu acha uchokozi, hapa nataka kura tu, si unajua mgombea lazima uwe rafiki na kila mtu......sijui mzabzab yuko wapi? pls mzabzab popote ulipo leta kura yako hapa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…