Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Takrima wote lazima mpate pale simba kapakatwa pub, ila kura yako sijaiona hadi muda huu?pls vote 4 me
kwanini usiwe mshiriki sasa?
Haya ndio mambo mamaa, sasa jiandae kusherehekea ushindi wa kishindo
^^
Najitokeza humu,,kwa wana CC nikwa nimebebelea zawadi nzuri kwa CC lady mwenye avatar inayokubaliwa na wengi
Unajitokeza unataja jina Mi kazi yangu ni kuhesabu yule ataewazidi wote
Kampeni zinaruhusiwa na zawadi nitampa Baba V atampa mshindi.
TWENDE KAZI
^^
tutende haki kusema ukweli kura yangu inaenda kwa Rich woman
Ooooh... Maamaa!!!!!! Mwambie haamie kwa Mrembo by Nature
Ooooh... Maamaa!!!!!! Mwambie haamie kwa Mrembo by Nature
Ukichakachuaaaaa hehehe utajuuuutraaaaaa^^
Kura isha hesabiwa haruhusiwi kupiga tena
^^
Ooooh... Maamaa!!!!!! Mwambie haamie kwa Mrembo by Nature
pacha Mrembo by Nature na Heaven on earth wanastahili zawadi maana sura zao sijui zikoje...... Kinachuronachuro!!!!!!!
Ila hata wewe pozi lako liko bomba, sijui nianze kukupigia debe......
pacha shemejio ana wivu
nikishiriki anaweza jinyonga bure!!