Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani mbona huo mkutano umejaa watoto!
. Kwa nini, bkoz of green+yellow?!,Fafanua tafadhari.du! huyu ni ndugu na salma?
- Kavaa mkufu kwenye mguu wa kulia tu, humaanisha nini?
- Mbona mtumbizaji mwingine ni shemeji? Au ndio chama?
- Mkutano umejaa watoto? Nao wamejiandikisha?
Jamani mbona huo mkutano umejaa watoto!
Vicky kapendeza sana.
Ni kweli kapendeza,sasa na hiyo cheni mguuni ina maana nae yupo katika ile jamii inayotwangwa kotekote au?????
Acha wivu basi,... mpe sifa zake achana na lakini....Ni kweli kapendeza,sasa na hiyo cheni mguuni ina maana nae yupo katika ile jamii inayotwangwa kotekote au?????