Zawadi Mauya aitwa Timu ya Taifa ya Tanzania ili kuokoa Jahazi

Zawadi Mauya aitwa Timu ya Taifa ya Tanzania ili kuokoa Jahazi

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Ndugu Zawadi Mauya kiungo mahiri mkabaji wa Klabu ya Yanga ameteuliwa kujiunga na Kikosi Cha Timu ya Taifa ya Tanzania

Uteuzi huo ulifanywa na Kocha Mkuu Kim Paulsen unaanza leo October 8,2021
 
Andika kwa kutulia kijana,acha papara...leo ni tarehe nane mwezi octoba 2021.
 
Bora sisi wale ma bushlawyer wanaojifanya wanajua kila kitu watokao mitaa ya machakos, kericho, kiambu, nyeri, kariobangi wao Walikutana na kipigo cha mbwa koko. Hawa watu wa Afrika magharibi sio watu wazuri hata kidogo
 
Ndugu Zawadi Mauya kiungo mahiri mkabaji wa Klabu ya Yanga ameteuliwa kujiunga na Kikosi Cha Timu ya Taifa ya Tanzania

Uteuzi huo ulifanywa na Kocha Mkuu Kim Paulsen unaanza leo September 8,2021
Nikajua kateuliwa kuwa DC
 
Back
Top Bottom