Zawadi murua kwa kina Preta, bht FirstLady...

Zawadi murua kwa kina Preta, bht FirstLady...

Tatizo letu tunahukumu kwa sura na wakati hatujui yaliyomo moyoni mwa mtu.

Maajabu ya UUmbaji ni kuwa kila kizuri hakikosi kasoro. Lakini kila chenye sura mbaya ujue kiundani kuna utamu. Ebu angalia Nanasi.

Kwa hiyo akina preta msiangalie sura. Kwa sura hiyo na ukakamavu wa mikono hiyo ujue ipo shughuli pevu. Aminia.
 
Back
Top Bottom