L Linababy Member Joined Oct 5, 2010 Posts 56 Reaction score 1 Nov 2, 2010 #61 du, huyo hata umpe mambo matamu vipi hacheki ng,oooooooooooooooooooo
LeopoldByongje JF-Expert Member Joined Apr 28, 2008 Posts 372 Reaction score 13 Nov 2, 2010 #62 Zion Daughter said: Tatizo letu tunahukumu kwa sura na wakati hatujui yaliyomo moyoni mwa mtu. Click to expand... Maajabu ya UUmbaji ni kuwa kila kizuri hakikosi kasoro. Lakini kila chenye sura mbaya ujue kiundani kuna utamu. Ebu angalia Nanasi. Kwa hiyo akina preta msiangalie sura. Kwa sura hiyo na ukakamavu wa mikono hiyo ujue ipo shughuli pevu. Aminia.
Zion Daughter said: Tatizo letu tunahukumu kwa sura na wakati hatujui yaliyomo moyoni mwa mtu. Click to expand... Maajabu ya UUmbaji ni kuwa kila kizuri hakikosi kasoro. Lakini kila chenye sura mbaya ujue kiundani kuna utamu. Ebu angalia Nanasi. Kwa hiyo akina preta msiangalie sura. Kwa sura hiyo na ukakamavu wa mikono hiyo ujue ipo shughuli pevu. Aminia.