Zawadi murua kwa Nyani Ngabu na Steve Dii

Zawadi murua kwa Nyani Ngabu na Steve Dii

Mwafrika

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2006
Posts
5,490
Reaction score
229
Nyie wasee mko wapi? Mmekuwa kimya hadi inatisha?!
Hii ni zawadi yenu toka kwenye mini-fiesta inayoendelea Tanzania kote:

supporters.jpg


Steve Dii naona macho yako umeelekeza 1100. NN nakuona macho yako yakiwa 1300 and 1100 and 1500
 
waoneeni huruma hao, ni watoto masikini wenye njaa hapo wameahidiwa vipesa vidogo tu vya kununua viatu vya mtumba pale ubungo mida ya jioni..
 
Na hii ni kwa mtani wangu wa jadi Kibunango:



Kibs naona macho umeelekeza 1200
 
Duuu acha vijana wacheze bwana sababu hata hatima yao hawaijui acha walau wapoteze mawazo kidogo kwa ngoma na mavazi ya chama kikubwa.
 
Hii zawadi kwa yo-yo:

vicky.jpg


Yoyo nakuona ukielekeza macho 1300 ...lol
 
Na hii ni kwa malaria sugu:

kikwete1.jpg


Nakuona ukiwa umefumba macho (kwa hasira au kwa furaha ... i dont know)
 
HAKYA MAMA vile
MBe - Mbe - Leee!!!!
 
MS mpe kadi za Chedema. Wanachama wamerudisha kadi zao, namba zinafuatana na kadi zote mpyaaaaa.....

08_10_9ha1yf.jpg


NN utundu kaanza siku nyingi sana, hebu kione ..... hihihiiiiii......
Na wanawake wanakipenda si kawaida, kasoro tu Nsia wangu ............
weka+pia.jpg
 
Mkuu Sikonge,
umemaliza, jamaa anatabasamu kama ....ra vile, hana akili nzuri huyu!
 
Mods bana.... wameshatukimbiza huku!
Ni kati ya hawa mods wawili - painkiller au silencer ....lol
 
Mwafrika nimeipenda zawadi ya Malaria sugu,anafaa kupewa 2 kama comp:smow:
 
Mwafrika nimeipenda zawadi ya Malaria sugu,anafaa kupewa 2 kama comp:smow:

ha ha ha,

Ngoja nimtafutie nyingine toka maktaba:

DANCING.jpg


MS kafumbua macho, ila ameyaelekeza 0500 ..... jaza mwenyewe
 
Back
Top Bottom