M Mwafrika JF-Expert Member Joined Nov 20, 2006 Posts 5,490 Reaction score 229 Oct 4, 2010 #1 Nyie wasee mko wapi? Mmekuwa kimya hadi inatisha?! Hii ni zawadi yenu toka kwenye mini-fiesta inayoendelea Tanzania kote: Steve Dii naona macho yako umeelekeza 1100. NN nakuona macho yako yakiwa 1300 and 1100 and 1500
Nyie wasee mko wapi? Mmekuwa kimya hadi inatisha?! Hii ni zawadi yenu toka kwenye mini-fiesta inayoendelea Tanzania kote: Steve Dii naona macho yako umeelekeza 1100. NN nakuona macho yako yakiwa 1300 and 1100 and 1500
U Ubungoubungo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2008 Posts 2,502 Reaction score 741 Oct 4, 2010 #2 waoneeni huruma hao, ni watoto masikini wenye njaa hapo wameahidiwa vipesa vidogo tu vya kununua viatu vya mtumba pale ubungo mida ya jioni..
waoneeni huruma hao, ni watoto masikini wenye njaa hapo wameahidiwa vipesa vidogo tu vya kununua viatu vya mtumba pale ubungo mida ya jioni..
M Mwafrika JF-Expert Member Joined Nov 20, 2006 Posts 5,490 Reaction score 229 Oct 4, 2010 Thread starter #3 Na hii ni kwa mtani wangu wa jadi Kibunango: Kibs naona macho umeelekeza 1200
Henge JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 6,933 Reaction score 1,511 Oct 4, 2010 #4 Duuu acha vijana wacheze bwana sababu hata hatima yao hawaijui acha walau wapoteze mawazo kidogo kwa ngoma na mavazi ya chama kikubwa.
Duuu acha vijana wacheze bwana sababu hata hatima yao hawaijui acha walau wapoteze mawazo kidogo kwa ngoma na mavazi ya chama kikubwa.
Henge JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 6,933 Reaction score 1,511 Oct 4, 2010 #5 mwafrika said: na hii ni kwa mtani wangu wa jadi kibunango: kibs naona macho umeelekeza 1200 Click to expand... mbeya walipoondoka wale wavisidilia watu wakatoka pia
mwafrika said: na hii ni kwa mtani wangu wa jadi kibunango: kibs naona macho umeelekeza 1200 Click to expand... mbeya walipoondoka wale wavisidilia watu wakatoka pia
M Mwafrika JF-Expert Member Joined Nov 20, 2006 Posts 5,490 Reaction score 229 Oct 4, 2010 Thread starter #6 Hii zawadi kwa yo-yo: Yoyo nakuona ukielekeza macho 1300 ...lol
M Mwafrika JF-Expert Member Joined Nov 20, 2006 Posts 5,490 Reaction score 229 Oct 4, 2010 Thread starter #7 Na hii ni kwa malaria sugu: Nakuona ukiwa umefumba macho (kwa hasira au kwa furaha ... i dont know)
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 54,762 Reaction score 59,204 Oct 4, 2010 #8 Picha ya kwanza nimeipenda.
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,252 Reaction score 36,513 Oct 4, 2010 #9 HAKYA MAMA vile MBe - Mbe - Leee!!!!
Sikonge JF-Expert Member Joined Jan 19, 2008 Posts 11,584 Reaction score 6,136 Oct 4, 2010 #10 MS mpe kadi za Chedema. Wanachama wamerudisha kadi zao, namba zinafuatana na kadi zote mpyaaaaa..... NN utundu kaanza siku nyingi sana, hebu kione ..... hihihiiiiii...... Na wanawake wanakipenda si kawaida, kasoro tu Nsia wangu ............
MS mpe kadi za Chedema. Wanachama wamerudisha kadi zao, namba zinafuatana na kadi zote mpyaaaaa..... NN utundu kaanza siku nyingi sana, hebu kione ..... hihihiiiiii...... Na wanawake wanakipenda si kawaida, kasoro tu Nsia wangu ............
M Mfwatiliaji JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 1,323 Reaction score 67 Oct 4, 2010 #11 Mwafrika, duh! wewe ni balaa bro, umenivunja mbavu usiku huu
M Mfwatiliaji JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 1,323 Reaction score 67 Oct 4, 2010 #12 Mkuu Sikonge, umemaliza, jamaa anatabasamu kama ....ra vile, hana akili nzuri huyu!
Abdulhalim Platinum Member Joined Jul 20, 2007 Posts 17,215 Reaction score 3,076 Oct 4, 2010 #13 Mwafrika said: Na hii ni kwa malaria sugu: Nakuona ukiwa umefumba macho (kwa hasira au kwa furaha ... i dont know) Click to expand... Ina maana Malaria Sugu ni karumanzira?:whoo:
Mwafrika said: Na hii ni kwa malaria sugu: Nakuona ukiwa umefumba macho (kwa hasira au kwa furaha ... i dont know) Click to expand... Ina maana Malaria Sugu ni karumanzira?:whoo:
U uporoto01 JF-Expert Member Joined May 23, 2008 Posts 4,698 Reaction score 1,423 Oct 4, 2010 #14 Mwafrika said: Click to expand... Tuseme ukweli wasichana wakitanzania ni warembo angalia hawa wanatoka familia za kimaskini hata cream hawajapaka na ni warembo balaa.
Mwafrika said: Click to expand... Tuseme ukweli wasichana wakitanzania ni warembo angalia hawa wanatoka familia za kimaskini hata cream hawajapaka na ni warembo balaa.
M Mwafrika JF-Expert Member Joined Nov 20, 2006 Posts 5,490 Reaction score 229 Oct 4, 2010 Thread starter #15 Mods bana.... wameshatukimbiza huku! Ni kati ya hawa mods wawili - painkiller au silencer ....lol
M Mwafrika JF-Expert Member Joined Nov 20, 2006 Posts 5,490 Reaction score 229 Oct 4, 2010 Thread starter #16 Abdulhalim said: Ina maana Malaria Sugu ni karumanzira?:whoo: Click to expand... That's correct
M Mwafrika JF-Expert Member Joined Nov 20, 2006 Posts 5,490 Reaction score 229 Oct 4, 2010 Thread starter #17 Bila kumsahau mchuchu1:
Abdulhalim Platinum Member Joined Jul 20, 2007 Posts 17,215 Reaction score 3,076 Oct 4, 2010 #18 Mwafrika said: That's correct Click to expand... :behindsofa:
WiseLady JF-Expert Member Joined Jan 22, 2010 Posts 3,268 Reaction score 531 Oct 4, 2010 #19 Mwafrika nimeipenda zawadi ya Malaria sugu,anafaa kupewa 2 kama comp:smow:
M Mwafrika JF-Expert Member Joined Nov 20, 2006 Posts 5,490 Reaction score 229 Oct 4, 2010 Thread starter #20 Wiselady said: Mwafrika nimeipenda zawadi ya Malaria sugu,anafaa kupewa 2 kama comp:smow: Click to expand... ha ha ha, Ngoja nimtafutie nyingine toka maktaba: MS kafumbua macho, ila ameyaelekeza 0500 ..... jaza mwenyewe
Wiselady said: Mwafrika nimeipenda zawadi ya Malaria sugu,anafaa kupewa 2 kama comp:smow: Click to expand... ha ha ha, Ngoja nimtafutie nyingine toka maktaba: MS kafumbua macho, ila ameyaelekeza 0500 ..... jaza mwenyewe